Hiyo Safi sana. Kupata audience kwa Nchi yenye population kubwa kama China na vile ina uchumi mkubwa italeta impact kubwa sana kwetu.Siyo yeye tu, kuna account kibao za Wachina wa serikali wanatwet mpaka kiswahili daily kupromote Tanzania.
Hata wao wanaweza kuja na miradi kama wakisimamiwa na serikali! Ile prime location ni bankable!Unataka wao wawekeze au Goveremnt , maana ,najua wao wakiwekeza itakuwa majanga
I was wondering why. Nice progress it's making thoughIlikuwa Withheld , for sometime
Over the yeas tuanze ku expand Kigamboni Side , tuiwekee New Container terminal na cruise ship terminal. 1 bn usd is enough to make 4,300 meter berth and their handling facilities . Issue kubwa itakuwa ku ya conect na SGR ambayo itabidi wajenge a railway bridge kama kigamboni bridge ku cross the port au reli ya kuzunguka upande wa kigamboni.kuchukua mizigo.Sema Dar port ndogo sana
View attachment 2459619
Yeah wanajitahidi , Nssf Projects get that sometimes , Wako na Project nyingne Mwanza .I was wondering why. Nice progress it's making though
Hili pori linaitwaje hapo nairobi 🤣🤣🤣Green City under the Sun
Wewe ng'ombe kweli, cargo yote ya Rwanda, Burundi, 40% ya DRC, 60% ya Zambia ,50% ya Malawi and others zinapita Tanzania99% of Tanzanian cargo start and end in Dar. So what are you building SGR for?
Mim sijui hayo mambo.. lkn hio container terminal kwann wasiwekeze kule kwala.. yan kila siku MGR na SGR baadae zitakuwa zinatoa containers hapo bandarin na kuzipeleka kwala.. sijui sana lkn ni mawazo tu kwann wasipeleke kwalaOver the yeas tuanze ku expand Kigamboni Side , tuiwekee New Container terminal na cruise ship terminal. 1 bn usd is enough to make 4,300 meter berth and their handling facilities . Issue kubwa itakuwa ku ya conect na SGR ambayo itabidi wajenge a railway bridge kama kigamboni bridge ku cross the port au reli ya kuzunguka upande wa kigamboni.kuchukua mizigo.
Hii ni short term suggestion , Long term , tuanze Kushusha Berth 5 za maana Bagamoyo Port . na kuziconnect na SGR
Pole kwa maumivu.Mkunya a-design building in Tanzania? Uwezo wenu huishia Kibera!
Do understand the word capacity? JNIA Iko na capacity of 8M passengers in a year but it's only doing 1.5M😂Kumbuka only , Berth 8 to 11 were operated by TICTS and they Handle 600k TEUS
Sasa Berth 7 na nyingne zitapata SSG cranes .
Asante kwa kutulea porojo😂😂😂Wewe ng'ombe kweli, cargo yote ya Rwanda, Burundi, 40% ya DRC, 60% ya Zambia ,50% ya Malawi and others zinapita Tanzania
So ?? Mbona hamkujenga sasa 🤣🤣🤣🤣Pole kwa maumivu.
TPA tower was designed by Kenyans
Rock city Mall Mwanza was designed by Kenyans
Tanzanian parliament in Dodoma was designed by Kenyans
East African Parliament in Arusha was designed by Kenyans.
Kwanza unajua maana ya hii taarifa na hii taarifa imekuja tu baada ya upanuzi mkubwa wa dar port ndio taarifa hzi zikaibuka sasa upanuzi uko mbioni kumalizila msubiri muelewe maana ya hii habari🤣🤣🤣🤣Kama cargo zote za Tanzania ndio hazipitii Dar, what cheats you that ya Burundi na Rwanda ndio zitapita Dar?😂😂
View attachment 2460148
Hata huku kwetu ni hivyo tu. NSSF scaled down Hazina Towers from the initial 39 floors to the current 24 floors. There were corruption allegations thoughYeah wanajitahidi , Nssf Projects get that sometimes , Wako na Project nyingne Mwanza .
Kwala si wameshawekeza , kule ile ni dry port tu , lakini distance etc itaifanya isiwe favorable kama kuweka facilities hapo hapo Port.Kwa ninavyoona , Kwala move was good but imo not the best. Berth Nyingne kujengwa means more ships can be served ndani ya muda mfupi hence hata Kwala will get more ContainersMim sijui hayo mambo.. lkn hio container terminal kwann wasiwekeze kule kwala.. yan kila siku MGR na SGR baadae zitakuwa zinatoa containers hapo bandarin na kuzipeleka kwala.. sijui sana lkn ni mawazo tu kwann wasipeleke kwala