Aseee umenena mkuuKusema ule ukweli mm ni mtanzania na nimeishi kwa miaka zaidi ya 25 Tz ..na ni mfanya biashara mkubwa kwa kiasi chake ..cjawai kutana na MTz mwenye accnt KCB au equity ..kuwepo watakuepo ..sema Wa Tz weng sana hasa wakipato cha kati hutumia bank za Ki Tz so i dont call Kenyan banks successful in Tz ..tukienda kwenye kubet still Sportpesa cjawai ifikiria cjui kwann lakin Wa Tz weng hawajachangamikia Sportpesa ..na bado haijafikia kampuni kama Mbet au merdian bet ...Mpesa cjui mnayosema yenu yes inatumika sana Tz ila mm najua cio ya Kenya.
Supermarkets nakumatt ina struggle ..uchumi imeshafungwa ..but ukiangalia TSN (Tanzania Sisi Nyumbani) supermarket..inazid kupamba moto..Village Supermarket na Shoppers supermarket wako vzuri ..pia na cjawai ckia wanataka wafunge branch
Lets Talk about CENTURY CINEMAX its is a Tanzanian Cinema company ..inafanya vzur kenya na Uganda ..they even have CENTURY IMAX At Garden City mall
onyesha tusi...tumetukana wapi?....mkimaliza matusi mtuite tuendelee na debate........
Bro we ndo una matatiz kichwani mwako nyie mmeendleaje??if no employment? People living in savage life(kibera),no strong democracy,people starving,all large enterprises run by western countries,mayb nkuulze wew umesoma shule ganstrong economically=development...lol! which school did you got to?
Tuendelee na debate hakuna alotukanamkimaliza matusi mtuite tuendelee na debate........
They don't deserve watto wa tanga hawaau tuwakabidhi watoto wa kitanga....[emoji23]
Arusha.Kenya naenda Mara 3 au 4 kwa mwezi.Bro unaishi Tanzania ya wap???
We jamaa unaconcentrate na kibera which makes 5% of Nairobi na unasahau ile ya kwenyu inamake 70%+ ya dar?????tuma aerial ya Nairobi na dar tufanye comparisonNALIAMSHA DUDE:
photos they will never show us:
unfortunately this is how some white guys on instagram show to the world the image of kibera.
punguza jazba "msee".We jamaa unaconcentrate na kibera which makes 5% of Nairobi na unasahau ile ya kwenyu inamake 70%+ ya dar?????tuma aerial ya Nairobi na dar tufanye comparison
Nairobi KenyaNALIAMSHA DUDE:
photos they will never show us:
unfortunately this is how some white guys on instagram show to the world the image of kibera.
wow...nimependa jinsi huo mnara unyowaka taa usiku...wasee wa minara.
asante kwa kutuletea picha za dar ya mwaka 2000 to 2006.Then mnachukua an ugly street that is the norm of dar mpatia Big Vic.
asante kwa kutuletea picha za dar ya mwaka 2000 to 2006.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]