Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu huyo jamaa ukimjibu ni kama unajisumbua tu, huyo ana hasira zake binafsi wala sio kitu kingine mkuu, hakuwaga hivyo ila tangu atofautiane na members humu basi akaasi na kuanza kuiponda nchi yake. So huyo sio kwamba hajui kama nchi ime improve no bali anaponda kila kitu, na kuna wakati anaiponda Tz kwa kulinganisha na USA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unachokisema ni kweli Kenya wanaangaika sana na umeme....tena huko vijijini ndo ovyo kabisa ....Tazama hapa

 
haya bass..
ruto alikua jana qatar🇶🇦 for worldcup finals, lakini hiyo sio hoja kwetu, sio issue hataa kidogo..
na hataa hatutaki kujua shughli zake ruto uko nje....


na try tu ku imagine, ingekua mama alizuru qatar🇶🇦 for worldcup finals!!🤔🤔 ile kelele ingekua hapa!....
yaani mama angekashifiwa ile mbaya!😠😠💥

nb:
ndomaana tanganyika hamuwezi endelea. mnataka mama akae tu nyumbani kamavile magafulu, na wala asitoke nje aka meet na potential investors, na ku gain motivation and inpiration, jinsi nchi zingine wameweza kufanya, ili pia alete hio maendeleo nyumbani..
mnafurahia sana akibaki tuu mashambani, na kua mshamba kwa kukaa tuu bongolala jinsi magafulu alivyo fanya.. 🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…