Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

VIta ya miaka na miaka wao wana mwezi tu,na sidhani hata kama UN wamewapa chapter 6,JWTZ wakiwa kazini in congo

Ju mlishindwa kalisheni matako chini now it's our turn.




KDF haina mwezi Congo, already walikua huko under UN peace keeping mission.


 
Ju mlishindwa kalisheni matako chini now it's our turn.




KDF haina mwezi Congo, already walikua huko under UN peace keeping mission.


m23 uwa wanaomba poo kwa JWTZ huko congo,kunyan congo anawajua nani nyie zaidi ya kujipendekeza na propaganda
 
Sioni hata cha maana hapa sababu kila kitu kipo kwenye lines za mtandao yote, hizo huduma zote zinapatikana Tanzania toka siku nyingi na sio money kuwa channeled to into your whatever account bali mpaka kukopa up to more than 500k from your mobile account!
 
Of course huwezi elewa, you are a primary school dropout how to do you expect to understand about fintech. Hio ni kama kunguru kusoma kitabu.
 
Kubali umeshindwa mzee 🤣🤣🤣 hakuna kitu kipya huko kwenu chenye eti sisi hatuna
Unajua ndio maana wabongo wengi muna complain kuhusu charges za mobile money, munalia serikali inawafinya. Merchant wa biashara ndogo ya kibanda sio same na merchant ambaye anamiliki petrol station. Cash flow zao ni tofauti sana. Hamuwezi elewa mambo ya fintech, pengine mkuje mjifunze Kenya which is a fintech hub.

 
Hivi Africa kuna fintech kubwa iliokua realized kama Nala on world's stage from Tanzania au mnajivunia tu utitiri wa prototypes zinazofia kwenye flash na makabatini 🤣
 
Hivi Africa kuna fintech kubwa iliokua realized kama Nala on world's stage from Tanzania au mnajivunia tu utitiri wa prototypes zinazofia kwenye flash na makabatini 🤣
MPESA is the biggest fintech in Africa. Wewe shugulika na biashara ya kuuza nguo kama wenzako wacha kuchokesha akili na vitu huwezi elewa. 🤣 🤣 🤣 🤣



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…