Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Zen can u imagine according to kenyan standards..
this is still a town. its not a city yet... and that, nakuru was given a city statue charter just the other day.. ie. december of 2021.. ie. one year ago!🤔🤔

 
Wewe Huwa unargue bila evidence. Hata nimekuzoea😂😂🤣

View attachment 2445017
Uzalendo upunguze mzee, wala hauhitaji hata darasa moja kujua ni facity ipi ni modern Kati ya UD na hiyo yenu 🤣🤣 au labda inategemea hii report ilikua ni ya mwaka gani.. lakini it's very clear UK facility is at least 30-59 years behind UD"s library
 
Wewe Huwa unargue bila evidence. Hata nimekuzoea😂😂🤣

View attachment 2445017
Uzalendo upunguze mzee, wala hauhitaji hata darasa moja kujua ni facity ipi ni modern Kati ya UD na hiyo yenu 🤣🤣 au labda inategemea hii report ilikua ni ya mwaka gani.. lakini it's very clear UK facility is at least 30-59 years behind UD"s lib
 
So umetoka kwa ukubwa ukarudi kwa modernity? Kweli wewe ni baboon, kwanza yule baboon confused.
 
Vijumba vitano wanapiga picha chini ili kuongopea watu, hawa jamaa bhn, waongo waongo sn mbwa hawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2444792
Firstly, it is not about the size but the quality.
Secondly, your photo doesn't show the whole of Loresho
Thirdly, Loresho is a new High End Estate in Nairobi that is still largely under construction and already has good roads. Meanwhile Mbezi is a very old high end neighborhood in Dar na haina barabara. Nadhani hilo ndio NairobiWalker alikuwa anajaribu kuwaonyesha. Huo mji wenu ni wa ovyo sana.
 
🤣🤣🤣we fala huwezi nikimbia nyang'au wewe . UD's library is both more modern and bigger than your shit
As long as you can't provide evidence just know that everything you are saying are hot air. What's in the books state the KU library has a capacity of storing 1.6 million books while that Chinese donation only has a capacity of 800,000.

KU Library.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…