Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe unaongelea Mbeya as a region wakati mimi nazungumzia Mbeya as a town. Hata Nakuru as a county is th third richest in kenya ila mji wa Nakuru imepandishwa ngazi na kuwa jiji juzi tu.

Kuna vitu vinaangaliwa ili mji iitwe city na sioni Mbeya ikikidhi anything
 
Hiyo GDP inajumuisha hadi huku Maporini ila seriously tuwe wawazi Mbeya haideserve kuwa City. Kwa Mtizamo wangu tubakize 4Cities Yaani Dar- commercial city, Mwanza,Arusha na Dom Capital City hizi City zinatoshaa
 
Msikasirike tuwe really tu kiukweli we need only 4 Cities ambazo serikali inafaa kuboresha infrastructures zake 2pambane na Miji kama Johannesburg
 
Uko na kichaa wewe.., eti utaje Dodoma same sentence na Nairobi, ni uendazimu huo, unajipotezea wewe πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., kama ata Dar haitoshi ndio Dodoma!.., linganisha na akina Mwanza na Arusha kule kwenu bana, Kenya wachana nayo, standards zenu ziko down sana.., Mbeya ni city TanzaniaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
SINGIDA


IRINGA


TOBORA

MOROGORO


Afadhali Morogoro kwa kiasi kikubwa. Hizi miji mengine umetaja hayana tofauti na Mbeya
 
This is Nyeri Town..πŸ‘‡πŸ½

imagine outside of Dar, Mwanza and Arusha... its not possible to get a neat and organised town like this in tanzania.... πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ˜²

Nyeri Town, Central Kenya
 
That Chinese donation has a capacity of holding only 800,000 books while KU University Library has a capacity of 1.6M books.
Unataja books capacity sio .? 🀣🀣 The bigger number of Books in the KU ni kutokana na number of bookshelfs tu, haihusiani chochote na ukubwa wa jengo since you can clearly see how bigger is UDSM's Library .. ona tena πŸ‘‡its by the way the largest library China has ever built in the entire continent of Africa .. compare with this πŸ‘‡ third world countries kinda facility its tinny and uglier full of bookshelfs 🀣🀣🀣..
 
You are an idiot. How can you claim that your library is big if it holds less books than the KU? Ama kwa akili Yako how do rank the bigness of a library?
 
Dodoma inatoshana na Naiporini
 
This is Nyeri Town..πŸ‘‡πŸ½

Imagine outside of Dar, Mwanza and Arusha... igs not possible to get a town this in tanzania.... πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ˜²

Nyeri Town, Central KenyaView attachment 2445001View attachment 2445002
Hii ni takataka kaka wacha kupost humu.. kabla uongee upuuzi wako pitia hizi Town

.. Tanga
2. Moshi a.ka kisumu's met
3.Iringa
4. Singida
5. Musoma
6. Bukoba
7.Shinyanga town
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…