Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂😂😂 Wananichukia hatari
 
Because we are not street beggars.
Naomba tushindane sisi wenyewe kwa wenyewe humu baina ya Wakenya na watanzania kabla hatujaanza kuwashindanisha watu ambao hatuwajui [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naomba tushindane sisi wenyewe humu kwanza kabla hatujatoka nje, mm naanza alafu na wewe jibu [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2443897
Naona ushalipwa mshahara ya kuwa watchman 🤣🤣😂. Alafu to make it worse unalipwa in cash then unasave chini ya mattress🤣🤣😂
 
Umelipwa mshahara ya $100 Sasa unajiona Bill Gates😂😂😂. Please tafuta watchmen wenzako ushindane nao.
 
Naomba tushindane sisi wenyewe kwa wenyewe kwanza humu ndani tujue kati ya Wakenya na watanzania wepi ni mafukara wa kutupa, tusitoke nje plz [emoji120][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
This study kumbe haijakosea😂😂. Average Dar is slum resident is earning around $177 per month, going by what you have posted as your salary. You are far much below this line🤣🤣😂
 
Suala la private life huwa linawatesa sana Wakenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mtu hata pocket money kama hiyo niliyoonesha mm hana, anashangaa shangaa mwishowe anaita pocket money salary, Wakenya ni mafukara sn[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…