Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lol hujui Tanzania ndio answerer wa monusco UN? Ninyi hamuwezi kukaa position ya Tanzania linapokuja suala la region geopolitics hata siku 1, ninyi mmeanza haya mambo last month, Tanzania ipo toka enzi!

Answerer ndio Nini?🤣🤣🤣😂
 
You used a wrong word in a wrong context na ndio maana nikakuliza answerer ni Nini. Just to educate you abit, the word should be answerable na sio answerer. Umesikia fala?🤣🤣🤣😂
 
You used a wrong word in a wrong context na ndio maana nikakuliza answerer ni Nini. Just to educate you abit, the word should be answerable na sio answerer. Umesikia fala?🤣🤣🤣😂
Wewe takataka kweli adjectives na nouns can work together on so many sentence settings and patterns, kazi ya hiyo adjective unayosema ningepaswa kutumia ni sawa pia na hiyo noun! 🚮
 
Wewe takataka kweli adjectives na nouns can work together on so many sentence settings and patterns, kazi ya hiyo adjective unayosema ningepaswa kutumia ni sawa pia na hiyo noun! 🚮
You know nothing. Idiot.
 
As long as Ethiopia and Kenyan armies are still in Somalia forget about that. Again how will Somalia serve her neighbors when they don't even have roads connecting them?
Acha akili za kizamani wewe.. Kwani jeshi la Ethiopia kuwa huko inazuia kutumia bandari zao? Hebu fatilia kwanza huo mradi wa berbera ndio uje hapa na hizo ngonjera za barabara..bado uko nyuma sana wewe.

Na ni hiyo Ethiopia inayotungua ndege zenu na kuteka waandishi wa Habari wa hapo kwenu ndio unajaribu kujibamba nayo hapa? Watu wana angalia economic benefits Sio blaa blaa hizo.

Somalia itakimbia sana, na nikupe taarifa tu, hamtaweza kui destabilize tena. Mkijaribu mtatandikwa sana tu Kwa nguvu msiyojua inakotoka.
 
Mbeya is no longer Uswazi Kama ambavyo mumekaririshwa 👇
 
The most useless and coward army in Africa. Which sane person anajibeba vile huyo jamaa kamejibeba? Alafu utapata all those luggage imejazwa na masufuria na fea.

View attachment 2442546
Cowards ni sisi ama nyie mliojificha kwenye majani Al Shabaan walivyo waambish! Mkawaacha wamarekani wakipigana wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Au mnafikiri tumesahau??[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…