chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,740
- 46,079
Siafikiani na nauli zao lakini unachekesha sana kufananisha nauli za bullet train na train zenu za kuni ๐๐๐Hawa watu wananyonywa kweli kweli. Ati fare from Dar to Morogoro a distance of 200km ni ksh 1,300. Mombasa to Nairobi a distance of 450km is ksh 1000.๐๐
View attachment 2440639
GoogleStreetView nikama BabaLevo.....Naona mlibana hawa fisi kila kona.., dawa ya Mtanzania ni facts, wabakie na domo domo..,
Izo bei zipingue kidogo bado ziko juu sana yani kwenda dom 71K? Apo hapanaSpeed? (120kph vs 160kph) Fuel source? (Diesel vs Electricity) Comfortability on board?
Ndo mana mfano kwenye bus, kwa uzoefu wangu, safari ya Dar-Dom, kuna semi luxury (shabiby) ni 25k, na luxury (shabiby) ni 45k.
In short hakuna uhusiano wowote kulinganisha bei za kunyaland na bongo
Watu husifia chakula sio sahaninai terminus. uncomparable View attachment 2440749
Hii ni bullet train?๐คฃ๐คฃ๐Siafikiani na nauli zao lakini unachekesha sana kufananisha nauli za bullet train na train zenu za kuni ๐๐๐
Ninyi kwanza ilitakiwa iwe bure kabisa
You are clueless na pia unatetea ujinga. According to your reasoning then Kenyan SGR trains should be more expensive than yours cause yetu inatumia diesel which is more expensive than electricity. Since you are a fool, you can't know that.Speed? (120kph vs 160kph) Fuel source? (Diesel vs Electricity) Comfortability on board?
Ndo mana mfano kwenye bus, kwa uzoefu wangu, safari ya Dar-Dom, kuna semi luxury (shabiby) ni 25k, na luxury (shabiby) ni 45k.
In short hakuna uhusiano wowote kulinganisha bei za kunyaland na bongo
Bado kubwa mzee , tena fuel source means ours should be cheaper to run . I expected Nauli isizid 12k kwa daraja la kawaida , maybe 20k kwa daraja la kati na 35k kwa 1st class Dar to MoroSpeed? (120kph vs 160kph) Fuel source? (Diesel vs Electricity) Comfortability on board?
Ndo mana mfano kwenye bus, kwa uzoefu wangu, safari ya Dar-Dom, kuna semi luxury (shabiby) ni 25k, na luxury (shabiby) ni 45k.
In short hakuna uhusiano wowote kulinganisha bei za kunyaland na bongo
Vitu vngne uwe unasoma kwanza daaHawa watu wananyonywa kweli kweli. Ati fare from Dar to Morogoro a distance of 200km ni ksh 1,300. Mombasa to Nairobi a distance of 450km is ksh 1000.[emoji23][emoji23]
View attachment 2440639
Idiot. What's there to read, figures are exposed there for you to see. That table doesn't require magic to interpret.Vitu vngne uwe unasoma kwanza daa
Umeambiwa hizo ndio final nauli???Idiot. What's there to read, figures are exposed there for you to see. That table doesn't require magic to interpret.
Mimi usinililie๐๐๐คฃUmeambiwa hizo ndio final nauli???
Wee jamaa **** kweli yaan cjui unakujaga humu umelewa... fala kweli
Watanzania wanaojielewa Hawa. Geza Ulole Sema Jambo.Hehehe second hand wagons wameuziwa milioni moja๐๐๐คฃ๐คฃ
View attachment 2440785