Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wahurumie kaka, labda ni kiingereza ulichotumia hakukielewa. [emoji1787]
Siku hizi na nyie mnaitana kaka? Mmejifunza ustaarabu na utu wa kitanzania...baadaye msiache kuitana ndugu yangu mtaongeza upendo.

Mmezoea wewe kuja hapa, songa mbele, nipe sukuma wiki,patia chenji yangu haraka [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nimezaliwa Lamu - the birth place of Kiswahili. Usijifanye kunifunza lugha yangu Msukuma wewe.
 
Njoo Arusha uwaone ndg zako wanatunza maua kwa nyumba na kulisha ng'ombe, hivi kwa kiingereza ndio wanaitwa mameneja wa kitu gani vile? Maana inaonekana mnafanya kazi za kisomi kuanzia East Africa na duniani kote [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimezaliwa Lamu - the birth place of Kiswahili. Usijifanye kunifunza lugha yangu Msukuma wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si ndivyo mnavyoongea wengi wenu hasira za nini sasa? Haya lini mmewahi kuitana kaka humu?
 
Siku hizi na nyie mnaitana kaka? Mmejifunza ustaarabu na utu wa kitanzania...baadaye msiache kuitana ndugu yangu mtaongeza upendo.

Mmezoea wewe kuja hapa, songa mbele, nipe sukuma wiki,patia chenji yangu haraka [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wamezoea umanamba [emoji2][emoji2]
 
Sisi Wakenya hatuna tabia ya kuwabeza wasio jua Kiswahili kama nyinyi. Ninachocheka ni irony ya Mnyamwezi kumshangaa Mswahili akiongea Kiswahili sanifu.[emoji1787]
Hao walamu wangewafunza na kueneza kiswahili nchi yote ya Kenya, hapa Tanzania hakuna sehemu isiyojua Kiswahili. Asili na matumizi sahihi siyo kigezo cha kutokuwa mahiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…