Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukraine ambayo iko vitani lakini wana chakula cha kutosha mpaka wanagawa.

Nitajie uchumi mmoja mkubwa duniani chakula ni anasa? Ni fake economies tu za Africa nazo ni: Kenya na Nigeria.
Tunaongelea Tanzania vs Germany. Kenya na Nigeria zinaingilia wapi?
 
Do you have cities in Tanzania apart from Dar?
my take:
Tanzania ni Dar(7M) tu..... kwingine kooote includng their 2nd city Proper Mwanza(600,000), 3rd city Proper Arusha (400,000) ni vichakani..

sasa ni wakati wa kuhamia mashinani..
sio tu kurundika kwenye sehemu moja na nchi yenyewe ni kubwa sana...

nendeni ocha sasa jameni.. mtamaliza oxygen mukiishi nyote (35% of country's population) kwenye sehemu moja tu hivi☝🏽
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Baada ya hiyo paved road moja kijiji chote ni slum πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 2432570
hii ni sehemu camera iliweza tu ku capture..
eldy ni soo wewe....
na hakuna slum. heb ata angalia streets za eldy..
hio tu itakueleza mengi kuhusu mjini mzima, kua hakuna uswazi
 
NJ akikua atakosa lafudhi tamu ya kiswahili cha Tz .. Diamond namkubali sana πŸ‘‡
View attachment 2432477
Kumbe hata diamond anajua lafudhi ya Kenya ni mbaya, wakenya wana lafudhi mbaya mno then Nigerians (west Africans)

Watanzania tuna lafudhi nzuri mno na ndio msingi wa umaarufu wa nyimbo zetu duniani, 60% ya consumers wa bongo flava hawajui kiswahili ila melody ndio inawavutia kupenda kusikiliza!
 
🀣🀣🀣🀣 Unaeza ukafa kwa wivu we jamaa.. huwezi badili hiyo video, zoea DODOMA, outside NAIROBI hakuna comparison ya estate kubwa ka hiyo in the whole of kenya
Video sijaikana, mawazo yako ndio tatizo., ushamba and ignorance, haujui lolote.., unashanga shangaa kishamba, Kenya sio size yenu bana, jikubali tu vitu vidogo visikushangaze hivyoπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Weka tena attachment nashindwa kuifungua mkuu.
Nunua simu ya maana kilaza, eti "nishanidwa kuifungua.." nyambaff, get a phone πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Baada ya hiyo paved road moja kijiji chote ni slum πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 2432570
mji wenyewe una..
Horses🐎..
German-Shephereds Dogs..
and British-Bull Dogs..
kila mahali, hivi, una expect kweli iwe ina slums.!?πŸ€”

coz those are just, but among few parameters of gauging affluence of a given urban fabric.. πŸ€”

 
🀣🀣🀣 Utakufa kwa wivu 🀣🀣🀣
 
🀣🀣 Jamaa Wana kiswahili kibovu
 
Tanzania ndio anchor economy in EA kama vile Germany ilivyo kwa Eurozone.
Google neno "Anchor economy in East Africa" utapata jibu kutoka kwa bodies tofauti..., ata Kenya yenyewe haijitaji kama anchor economy, dunia inajua, liko wazi sana. mifukara wacheni kelele, kueni wapole, pengine vitukuu vyenu vitashuhudia Tz kufikia kuitwa "anchor economy".., idiots liked your post😝 😝 πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
🀣🀣🀣 Utakufa kwa wivu 🀣🀣🀣
Mimi sina wivu, napenda ukweli, porojo naumbua, wewe utaendelea kuteseka hadi basi., zoea mapemaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Perfectly true..., hawa watu hawana City nje ya Dar, ni vijiji kubwa.., na ushamba around them..,
We are your biggest fear in EA🀣🀣 mnatuogopa kuliko ukimwi, mnahangaika kusema kila kitu ili kitu downgrade lakini vitu kwa ground ni tofauti, yo remember that Seeing is believing, huwezi ongopea mtu kwenye dunia ya Camera.. 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…