Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wazee wa GDP aibu sana hii. Yaani sawa na marehemu adonate blood kwa mgonjwa. Wazee wa kupika data za uchumi mnasikitisha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anakwambia "our commuter train is better than your sgr"[emoji28][emoji23]
 
We mzee wa Malaya wa buku 3 nmekuzarau mpk leo aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Malaya mtanzania kwanza [emoji23][emoji23] lunch yako ya ksh 70bob haitoshi kunilipia malaya nitombe shot moja pekee
 
Tsh 1500 huwezi amini, Wakenya bado sn kwenye misosi[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2430965
mwanzo huo ugali bado angali mbichi sana..
yani, hauku okwa kwenye jiko kwa mmda flani hivi..
ilitolewa motoni, tena na mapema sana, baada ya kusongwa kwa dakika tuseme matatu, manne hivi.!

yahk!😝

kumbe hii ndo mfano tosha! mojawepo ya chakula bomba halisia ya kibongolala🤔
.....ok! bora kujua ivo leo

 
Kuna uwezekano mkubwa hicho chakula kisifike kwenye hizo nchi tajwa (danganya toto). Kama ni mfuatiliaji wa hili saga la Ukraine utakumbuka ni majuzi tuu, ngano iliyotakiwa kupelekwa Misri, Ethiopia n.k... 80% ilipekekwa Ulaya.
Hapa sijakuelewa, kwahiyo nani anayedanganya toto hapa, na kwa lengo gani hasa?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hawa wasaidii!

Wazungu washenzi tu. Chamoto yuko sahihi kuwa hiyo article imeandikwa kishabiki kwa kua, nchi Ukraine inapeleka hicho chakula kwa mapambio ni nchi zilizopiga kura against Russia na kuiponda Russia.

Sasa wanawasaidia ama wanasaidiana?
Haya ni mawazo yako, huenda wewe ndio upo "Negative minded person", hivi hao wachina wanaowasaidia wakenya chakula kila mwaka nao pia wanadanganya?, au wanataka kupigiwa kura?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hicho ni chakula cha uswazi na ni buku jero yn tsh 1500 ambapo huko kwenu ni anasa yn mpk uende migahawa mikubwa ndiyo unakula hvyo.
Hicho ni chakula cha uswazi na ni buku jero yn tsh 1500 ambapo huko kwenu ni anasa yn mpk uende migahawa mikubwa ndiyo unakula hvyo.
ni 'migahawa' ama 'mikahawa' hichi kiswahili chenu kinauzi sana..!!
afteral kiswahili started in lamu, kenya.....
hence kenyan kiswahili is the original one, and the correct one.. darling
 
Endelea kujidanganya. Tunajua ule msemo wa kila kitu kizuri “kilianza kenya”; ha ha ha.
afteral=after all (it is a two-word phrase)
Endelea kujidanganya. Tunajua ule msemo wa kila kitu kizuri “kilianza kenya”; ha ha ha.
afteral=after all (it is a two-word phrase)
hapo sawa 'Mgonjwa wetu Mtambulika'...🤜🏽🤛


ata US wanasemaga
'neighbor' instead of 'neighbour'..
sawa pia na
'ain't' instead of 'is not'..




heb ona hapa...

ila habari njema kwenyu..
hatimaye dawa yenyu imekwisha patikana🤣🤣
👇🏽👇🏽

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…