Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwezi elewa kwa sababu umekariri maisha huko Dar..

Kama una bando la kuunga unga usifunge hizi video za Sumbawanga.

Ukiona uswazi wowote hapo unitag,Mji mzima uko well planned and organised.

Sumbawanga [emoji116]
Swax nakufahamu nimeishi hapo mwaka mmoja
 
We kijana akili zako zinahitilafu hauko sawa
Ona unavyotapatapa Kama unataka kutaga..

Si ulitaka uthibitisho,nimekuletea Sasa,Sumbawanga hakunuki na Hakuna uswahili Kama wa Dar..

Kama huna bando sema nikutumie ufungue video nyingine hii hapa 👇
 

Attachments

  • TANROADS_WAFUNGA_TAA_ZA_BARABARANI_SUMBAWANGA(720p).mp4
    82 MB
Swax nakufahamu nimeishi hapo mwaka mmoja
Kwa hiyo unabisha Nini? Swax Kuna mauchafu Kama ya huko Dar?

Uliishi mwaka gani? Mimi huko Ni kila mwezi naenda na kwa ajili ya shughuli zangu..

Niambie wapi Kuna nuka Kama tandale,gongo la mboto,mbagala na uchafu mwingine Kama huo uliojaa Dar.
 
Hii mbuzi kwani mnaielewa wakuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umkute mkundustan akiongelea commuter zao sasa utadhani kweli, nenda uka search Google unakutana na huu uchafu wa WW1

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…