Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,805
- 41,709
Ni katika kumuelimisha TU ndugu yako, by the way kama huna madhara kwangu naweza kukuonyesha chochote kuhusu mimi and you have nothing to do about it๐ ๐ ๐ uko na kaushamba flani dogo.., the way ume display your stuff, boss up your game๐๐๐๐๐๐
Najizuia sana kunywa soda mda wa kula ila jioni sometimes napendelea beer ama gin kidogo...Baada ya kaziWewe addiction yako ni nini bro.?
Sa siunaona uzi ni Dar vs NBO...Kwanza siishi Dar,Pili huko Dar sikupendi na huwa sioni Cha kupost maana sehemu kubwa ya Jiji Ni uswazi na kunanuka hovyo..
Anyway ngoja nikufurahishe Basi [emoji116]
๐คฃ Wewe ni mlevi au mnywaji..Najizuia sana kunywa soda mda wa kula ila jioni sometimes napendelea beer ama gin kidogo...Baada ya kazi
Na afungue sasa Uzi wa Sumbawanga vs Nairobi ๐คฃ๐คฃSa siunaona uzi ni Dar vs NBO...
Sumbawanga ndio kunanukia?[emoji2][emoji2][emoji2]
Sumbawanga kunanukia ndio Hakuna mauchafu Kama ya Dar..Sa siunaona uzi ni Dar vs NBO...
Sumbawanga ndio kunanukia?[emoji2][emoji2][emoji2]
Tuonyeshe Sumbawanga kijana,sikuelewiSumbawanga kunanukia ndio Hakuna mauchafu Kama ya Dar..
Kama uzi Ni wa BRB vs Dar Mambo ya Mwanza,nakuru na Dodoma mnayaleta ya Nini?
Naonja tu kk,unachangamka tu kidogo[emoji1787] Wewe ni mlevi au mnywaji..
Unyama ni mwingi mwaisa mtu mbadiNaonja tu kk,unachangamka tu kidogo
Hawa wasaidii!Mkuu mbona hueleweki?, Kwani Ukraine inasaidia hizo nchi kujikinga na baridi au chakula ambacho wao wanacho cha ziada?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
I'm addicted with Mirinda, Novida, Heltho/Anjari, Apple punch or Fursana..
We mwenyewe mgonjwaLow IQ DanganyikansView attachment 2430833
[emoji1787] Wewe ni mlevi au mnywaji..
Unafaa kufanyiwa upasuaji wa kubadilisha ubongo low IQ ipungueWe mwenyewe mgonjwa
Hizo pande kumepandwa miti ile ya haradari co mchezo, yn kunapendeza sn plus lami kila kona. Alafu kiwalani ilijengwa kimitaa yn pako poa kinoma.Yap ni kiwalani mkuu..
Tsh 1500 huwezi amini, Wakenya bado sn kwenye misosi[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila mzee unafurahisha wewe [emoji23][emoji23] mtanzania wa kawaida anakula vizur more than this, ngoja nikuonyeshe.. binafsi wala sina maisha ya watanzania wa kipato cha kawaida, kipato changu mimi ni cha chini tu . Lakini kula yangu mzee 2k tz sh[emoji116]mama ntilie tuView attachment 2430260.. View attachment 2430261hata nikipikaga mwenyewe magetoni still natoa unyama kama huu [emoji116]View attachment 2430262View attachment 2430263View attachment 2430264.. haya ni maisha yangu mimi muuni tu wa magetoni, sasa kama wewe unajisifia maisha mazuri [emoji1787][emoji1787] halaf ni engineer sijui [emoji1787][emoji1787]. Basi uko kwenu msosi ni anasa ..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chapati 3 nzito na bakuli la roast ya viazi na nyama usiku? Buda that was not hunger, was famineโฆโฆโฆhizi ni dalili za mtu anayekula kwa kubahatisha, kwani hujala toka lini?[emoji23][emoji23]
Huwezi elewa kwa sababu umekariri maisha huko Dar..Tuonyeshe Sumbawanga kijana,sikuelewi