dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
Yeah . Most likely ni zile 2 engines from Europe or somethingMana wanasema zitaanza kazi January
Nairobi imezidi Dar mi nakubali ,Mombasa imezidi Mwanzatruely speaking.. mombasa and dar-es-salaam is one thing!.
ni venye tu mombasani hamna ghirofa tatu za blue.... hio tu! otherwise ni ndugu wa, toka ni toke
Mombasa has a bigger port than Dar, better railway line and station, better roads, so what exactly does Dar lead Mombasa in? Population?Nairobi imezidi Dar mi nakubali ,Mombasa imezidi Mwanza
Tatizo lenu ninyi kusema ukweli ni kama mtakufa Yani.Kusema tu Dar imezidi Mombasa unaona utakua msaliti?
Port an railway station?[emoji3][emoji3][emoji1787]Mombasa has a bigger port than Dar, better railway line and station, better roads, so what exactly does Dar lead Mombasa in? Population?
So if Bagamoyo will get a bigger port and SGR link it is already better than MombasaMombasa has a bigger port than Dar, better railway line and station, better roads, so what exactly does Dar lead Mombasa in? Population?
tuusan mi nakupendanga!😘Nairobi imezidi Dar mi nakubali ,Mombasa imezidi Mwanza
Tatizo lenu ninyi kusema ukweli ni kama mtakufa Yani.Kusema tu Dar imezidi Mombasa unaona utakua msaliti?
Hawapo serious alafu wanajiita EAC Superpower[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787],superpower na njaa wap na wapAll in all, hii ya kupata misaada ya chakula toka Ukraine ni too Much,
Hii nchi ni fukara kabisa, hopelessness,
Fedheha naona mimi .
Duh ndio gharama za maendeleo hizoo.
Hakuna infrastructure yoyote ile ipo East Africa hii ikakosa kuwepo Tz ila kuna infrastructures kibao zipo Dar huwezi kuziona East and Central Africa hilo ulielewe.truely speaking.. mombasa and dar-es-salaam is one thing!.
ni venye tu mombasani hamna ghorofa tatu za blue.... hio tu! otherwise ni ndugu wa, toka ni toke
Nairobi imezidi Dar kwenye nn be specific usiwe mpumbavu, Dar pia inezidi miji yote ya EA kwenye mambo mengi tu. Usiwe mjinga wa kukubali vitu kirahisi rahisi namna hiyo mjinga wewe.Nairobi imezidi Dar mi nakubali ,Mombasa imezidi Mwanza
Tatizo lenu ninyi kusema ukweli ni kama mtakufa Yani.Kusema tu Dar imezidi Mombasa unaona utakua msaliti?
Hueleweki unaropoka ropoka tu mda mwingine, huna msimamo unapelekwa pelekwa tu kama gari bovu.Hawapo serious alafu wanajiita EAC Superpower[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787],superpower na njaa wap na wap
Pelekana na maisha yako usinifuatilieHueleweki unaropoka ropoka tu mda mwingine, huna msimamo unapelekwa pelekwa tu kama gari bovu.
Ona hapa ulivyoropoka, eti Dar inazidi Mombasa, we pumbavu kweli kweli, sasa unafanya nini humu mana hii ni battle ya Dar vs ka Nairobi.Nairobi imezidi Dar mi nakubali ,Mombasa imezidi Mwanza
Tatizo lenu ninyi kusema ukweli ni kama mtakufa Yani.Kusema tu Dar imezidi Mombasa unaona utakua msaliti?
Kwani niliwahi kukuambia niko hapa kuungana na wewe?wewe ndio mpumbavuOna hapa ulivyoropoka, eti Dar inazidi Mombasa, we pumbavu kweli kweli, sasa unafanya nini humu mana hii ni battle ya Dar vs ka Nairobi.
Hata unavyojibu tu unaonekana huna msimamo, ukipelekwa huku twende ukipelekwa kule twende.Kwani niliwahi kukuambia niko hapa kuungana na wewe?wewe ndio mpumbavu
Nairobi imezidi dar bisha kwa facts na uache upumbavu wako
Huyu nyang'au bado anafikiri Dar ni ile ile ya enzi za Mwalimu.Nairobi imezidi Dar kwenye nn be specific usiwe mpumbavu, Dar pia inezidi miji yote ya EA kwenye mambo mengi tu. Usiwe mjinga wa kukubali vitu kirahisi rahisi namna hiyo mjinga wewe.