The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Hii picha ya pili ni uwanja wa wapi?Bukoba airport utaiextend kuelekea wap wakati kila mahali kumezungukwa na milima na makazi ya watu..
Hio cost si bora wajenge uwanja mpya eneo lililo salamaView attachment 2420033View attachment 2420034
Ni Bukoba airport....ukipiga kutokea ziwani....Hii picha ya pili ni uwanja wa wapi?
Wangekuwa watanzania mngeshawarudisha tunavyowajua roho zenu.Njoo usaidie wenzako Mombasa.., mko na matatizo ya ukoo.., ona vile mnajaza omba omba Mombasa sasa.., tokea Nakuru, Mombasa, hadi central Kenya, alafu sio walemavu, mnajifanya walemavu ili muombe pesa kwa streets za Kenya.., eti Tanzania ni paradiso, skiza hii video.., yaani wanakuja wanagundua kuna pesa wanarudi Tanzania kuleta wengine, wanaitana π π π π .., 4:48.., mnakusanya pesa mingi mno.., Tanzania hakuna hela? ama nyie ni fukara sana? mko hovyo
Mnakera mko sehemi nyingi sana Mombasa!!!
Kwa hivo source lazima iwe ya majuu ndio uwe ukweli? Ndio maana mmetawaliwa kiakili.Source KENYANS.co.ke alafu kuna mbwa zime like [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
πΌπ΅πΆππ ......oooo mshini wami... ooo mshini waaaam"....Hii ndio nchi ya uchumi yani amani kwao imewashinda sasa wako DRC πππ
Yeah na ni mpango mzuri sana walau kila airport iwe na uwezo wa kutua Q400So ni mpango kila mkoa uwe na uwanja wa ndege?
View attachment 2419903
Tuna roho safi ndio maana hawasumbuliwi, hatuna roho chafu za chuki na wivu kama mlivyo nyinyi, yaani watu wa kinyongo na masengenyo ata wenyewe kwa wenyewe., nawajua vizuri sana..,Wangekuwa watanzania mngeshawarudisha tunavyowajua roho zenu.
Tamaduni ya Tanzania kutokea mababu.., walaji mbwa kwa kupenda., minofu ndio hizo, jibambe ba mzee..,Njaa mbaya dogs come in handy [emoji16]
U have perfectly described Tanzania., kumbe unajijua, kwanza umalaya mnaongoza EAC., waswahili ni hovyo sanaπ π π π π π π π πIle cku Tz kutakuwa na njaa, magonjwa, umalaya, wizi, ushenzi, ukosefu wa ujuzi hasa wa kisayansi kama Kunyaland uje tuongee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tamaduni yenu hiyo..., walaji mbwa pasipo kulazimika π π π π π π π
Hamna obstacle hapo, obstacle ni weatherUwanja uko karibu sio shida...tatizo ni hiki kisiwa kilicho kama mlima....mahali ndege zinapotua na kupaa...zinapita juu ya hiki kisiwa kinachokuwa kama obstacle...
Bila shaka umeelewa point...View attachment 2420029View attachment 2420030
Tumia neno sahihi "njaa" acha kutumia neno la kuficha uhalisia eti "pasipo kulazimika".Tamaduni yenu hiyo..., walaji mbwa pasipo kulazimika [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 2420111
OK, lakini inasikitisha, labda kama ni la muda.Wa Mwanza wanataka jengo lingine pia! Mi nadahani bora hili kuliko lililopo!
Uwanja wa ndege wa mwanza nina fuatilia kwa muda mrefu, toka enzi ya mkapa, ilikuwa inatakiwa kujengwa terminal ya kuhudumia watu milioni moja kwa mwaka.wacha mawazo mgando kwa hiyo ile terminal ambayo halmashauri imekula hela na kuishindwa kukamilika mpaka sasa haitaruhusu ndege za kutoka nje kutua? Tatizo ni ubinafsi! Huo uwanja wa Mwanza (cargo na PAX Terminals) na Bukoba(PAX Terminal) ni kati ya viwanja bora zaidi Tanzania! Kigoma na Tabora hawana uwanja wanahitaji uwanja wa viwango hivyo pia!
Uwanja wa Bukoba unahitaji navigation aids tu kufanya ndege itue kwa usalama kipindi hali ya hewa ni mbaya! Ila kuwa karibu na ziwa si issue kabsaaa kiutaalam! Na si baadhi ya watu wanakuja na ngonjera za Omukanjuguti international airport wakati huu wa Bukoba haujaweza kuwa na direct daily flights mwaka wa tisa tangu uanze kutumika!
Runway ikiwa ndefu hicho kisiwa sioni kama ni issueUwanja uko karibu sio shida...tatizo ni hiki kisiwa kilicho kama mlima....mahali ndege zinapotua na kupaa...zinapita juu ya hiki kisiwa kinachokuwa kama obstacle...
Bila shaka umeelewa point...View attachment 2420029View attachment 2420030
Runway itakuwa ndefu kuelekea wap...Runway ikiwa ndefu hicho kisiwa sioni kama ni issue
Ujinga mzigo π π π π π π usizoee kukurupuka kwa mambo ambayo hauyaelewi, mimi nitaendelea kuwaumbua hadi chooni., MBWA ππππππππππ
yaani ata Mozambique wanapata Starlink na nyie washamba mnaachwa, naona zezeta mwenzako amecheka eti, poleni kwa kukosa maarifa na uelewa, miboya kabisaππππ
View attachment 2419985
View attachment 2419986
View attachment 2419987
mwanzo acting zote za ngono 'xxx' huku east africa..U have perfectly described Tanzania., kumbe unajijua, kwanza umalaya mnaongoza EAC., waswahili ni hovyo sanaπ π π π π π π π π
View attachment 2420112Hivi kwanini Tanzania kuna desturi ya kutaja makabila ya watuhumiwa wa umalaya
Huwa pana ulazima gani mpaka kabila litajwe... Makosa mengine hamtaji kabilawww.jamiiforums.com
View attachment 2420113