Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndugu zake wanakufa huko kwa kukosa elimu ya ujenzi yeye anahangaika na wewe. Mikunya ni mijinga sana.
Njoo usaidie wenzako Mombasa.., mko na matatizo ya ukoo.., ona vile mnajaza omba omba Mombasa sasa.., tokea Nakuru, Mombasa, hadi central Kenya, alafu sio walemavu, mnajifanya walemavu ili muombe pesa kwa streets za Kenya.., eti Tanzania ni paradiso, skiza hii video.., yaani wanakuja wanagundua kuna pesa wanarudi Tanzania kuleta wengine, wanaitana πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .., 4:48.., mnakusanya pesa mingi mno.., Tanzania hakuna hela? ama nyie ni fukara sana? mko hovyo

Mnakera mko sehemi nyingi sana Mombasa!!!
 
Hii ndio nchi ya uchumi yani amani kwao imewashinda sasa wako DRC πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…