Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,175
- 107,756
wacha fikra za ajabu! kwahiyo ule wa Kigamboni ulioshindwa kuisha hujauona? Sioni cha kulalamika! ujenzi ni ujenzi sio kila kitu kuiga! Tunajenga kwa uwezo wetu na kumbuka nyumba zinauzwa baada ya kujengwa! so zijengwe tu hata kama haziuziki? au unataka maghorofa yanayoporomoka yenyewe kama hapo Kunyaland?Kweli kabisa, tungekua tumejenga hiyo miradi kwenye eneo moja kubwa tungekua na eneo moja matata mno .. miradi ya NHC+UTUMISHI HOUSING+TBA .. sahii tungea na concrete jungle ingine kubwaa tena ya maana kuliko KK .. but pitia hivyo vi miradi wanvyofanya NHC now then get to checkout the surroundings.. ni aibu kwakweli
Hapo kuna residentials hyo ni miti tuSio kwa ubaya iyo greenery inavutia sana mkali,inafaa na sisi tupabde miti sana hapa town
Acha shobo za mitandaoni weweKomora ujue we mtoto mzuri sn wewe sema unajichetua tu.
Akili zako zinafanya kazi kweli..we unajua watu ambao wana vitambulisho kenya yani 18yrs and above wanafika 30million
Ila SADC kuna kitu inafanya si sawa! Hii DRC ni territory ya SADC for long, saahii Mozambique kuna RDF na sasa eastern DRC hawa mbwa wanaenda ukiachia presence ya Uganda na Burundi! Kenya inatumwa na mabwana zake the West kuenda kulinda interests za western nations! Kitakachotokea ni vita kati ya Uganda na Rwanda dhidi ya Kenya!One goes for peace (negotiation), another goes for war (protection) 😅
mwanzo sikujua @komora96 ni binti.. ila nilidhani eti ni mchizi flani mdigo toka kizingo, mombasani...Komora ujue we mtoto mzuri sn wewe sema unajichetua tu.
Wakenya ni wajinga hawajielewi.. wako kama nato; as part of west and america's exploitative mission to the region. Na watanyukwa wengi tuIla SADC kuna kitu inafanya si sawa! Hii DRC ni territory ya SADC for long, saahii Mozambique kuna RDF na sasa eastern DRC hawa mbwa wanaenda ukiachia presence ya Uganda na Burundi! Kenya inatumwa na mabwana zake the West kuenda kulinda interests za western nations! Kitakachotokea ni vita kati ya Uganda na Rwanda dhidi ya Kenya!
ungemshow awache nyege baridi za mifukara wa kibongo.
Fulluungemshow awache nyege baridi za mifukara wa kibongo
Dah!![emoji848][emoji848][emoji848]mwanzo sikujua @komora96 ni binti.. ila nilijua tu eti ni mchizi flani mdigo toka kizingo, mombasani...
ok.. ni vyema leo kujua vile
View attachment 2414783dedication zangu kwa @komora96 hii hapa
by MB Dogg mwenyewe! [emoji981][emoji445][emoji443][emoji344]