Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawezi kuendelea na haya yote yanayotokea Tanzania, mgao wa umeme, maji ni kwaajili ya kupigwa chini CCM 2025. Kikwete ndio ametuletea huu ujinga, chaguo la magufuli lilikua Dr Hussein Mwinyi
Uyo tunae hadi 2030...na sijui atakuja na sera gani 2025
 
Kwaiyo Ng’ombe wamemaliza maji yote? What a lame excuse…
Unajua huwa naamini kuna vilaza wengi sana wanaongoza hii nchi ?
Mkuu ushawahi kuchunga ng'ombe?Je umewahi kuona mahali ng'ombe wanapokunywa maji Kila siku? Wanaweza wasinywe kumaliza mtu lakini huharibu utiririkaje wa maji na kutengeneza stipness na kama mtu unamaji machache basi jua Kasi yake itapungua.Muhimu kuwa na ufugaji au kilimo kisichoharibu ecolojia au uoto wa asili.
 
Prof Muhongo ni tatizo ana fikra za kitumwa bado! Yaani hata alipokuwa waziri alizuia wachimbaji wadogo nakumbuka hata vitalu wazawa walikataliwa mpaka Marehemu Mengi akamjia juu kabla ya JPM kumtumbua!
Alisema Watanzania hawana mtaji wa kuwekeza kwenye vitalu vya gesi labda kwenye ice cream [emoji2955][emoji2955][emoji2955]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…