Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
Hakuna zaidi ya marina πMombasa
kweli...inaeza jaribu ila Mombasa haipo nyuma sana kwa Kampala....kampala kwanza haina mpangilio...Kampala na mombasa nadhan kampala kunaweza tema cheche kwa mombasa
nataka uniletee second city ya tanzania nami nikuoneshe yetuπππHakuna zaidi ya marina π
Ila ukitala beach hotels ndugu zanzibar ni moto
Zitatokea wapi rendersππMontav na pinnacle inaenda kutokea hapa...nairobi kuwa na huruma kidogo
Fungua thread bronataka uniletee second city ya tanzania nami nikuoneshe yetuπππ