dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
Profesa wa mchongo.Umeungana na uyo mzee ?inhia world bank mwenyewe sahv alafu uje useme umeona nn
Kafaulu mtihaniWoow. Tanzania [emoji1241][emoji173][emoji173]
Sikilizen hii
Acha uongo. Hao ni vijana wa Afrika ya Kusini."you said education is the key, yet all doors are locked..."
thats according to these youths in the streets of dar-es-saalam, tanzania View attachment 2410588
Wewe mtu upo ?Acha uongo. Hao ni vijana wa Afrika ya Kusini.
Nipo.Weee mtu upon ?
Namusalimia, nakutafuta nipe namba yako inbox.Nipo.
Mpumbavu ni mama yako na baba yako. Kwanini nitengeneze persona ya kuwa Mkenya?
Hebu kaa chini na ujiulize kwanini nipoteze muda wangu kujifanya kuwa Mkenya? Kwasababu sikubaliani na views zako? Mbona kuna watanzania wengi wenye political views tofauti? What is it that makes you resent me so much? Because I live in America? 😂😂
Kiukweli mtu akisema njaa imamuuma kibongo bongo ni rahisi kupata msaadaKafaulu mtihani
Kabisa especially ukienda kwenye nyumba yenye watoto kama hio.Kiukweli mtu akisema njaa imamuuma kibongo bongo ni rahisi kupata msaada
Wewe sinikawaida yako kupingana na facts ona sasa unambagua hadi mtz mwenzako kwa7bu ya ujingaWewe sio Mtanzania, full stop.
Juzi nilikupa test ya kutupa mrejesho wa "Sizitaki Mbichi Hizi" "Kibanga Ampiga Mkoloni". Hakuna Mzaliwa Tanzania asiyejua haya ni walowezi na wahamiaji kama wewe.
Which are those you call facts?Wewe sinikawaida yako kupingana na facts ona sasa unambagua hadi mtz mwenzako kwa7bu ya ujinga
Utapambana na kila mtu we kazanaWhich are those you call facts?
What's wrong with identifying a foreigner among us? Wewe unamjua huyo jamaa or kwakua ameweka "255"? Amepewa test arudi na mrejesho.
Hapa kunamkao wa jiji sasa
Utapambana na kila mtu we kazana
Mjini