Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sijui ni mpaka lini hawa watu watajakubali kenya ni king wa eastern and central africa, ethiopia included

 
Kajipachika kidole [emoji38]..kuna muda kila nikumbuka lab coat lake na vile viatu sijiskii hata kubishana nae
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Are you proud of dat? [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Wakati mathare Wanakaa juu ya kinyesi? Mungu aonekane juu ya nchi yenu fools
 
Nilipoona madirisha yako hivi nikaacha kabisa comparison [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Anapiga kelele hapa wakati kwao mchina anamiliki reli, barabara na CBD
 
I never thought ingefika wakati wanajaribu justify the ugliness of their SGR trains using Kenyan trains that they have been abusing since 2017😂
Hizo ni behewa za kawaida za trains za kawaida tena daraja la tatu. Bado EMU zinatengenezwa na siku mkiziona mtakimbia hamtaonekana humu. Train na behewa zetu zinatengenezwa katika nchi tatu tofauti, Germany, China na South Korea. Tunataka kuwa-supraise na vitu vizito. tumewaonyesha tu hzo normal behewa za daraja la tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…