Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Blue Coast kashinda tender ya kubeba wafanyakazi wa mgodi wa GGM Geita, anatakiwa kuwa na bus za aina hii 30 ili kubeba wafanyakazi wa mgodini kutoka nyumbani kwenda kazini everyday

Ameingiza nusu ya buses 30 nyingine zipo kwenye meli ndani ya wiki 2 zitatia nanga.
 
Wakunya ni walinzi na wafanya usafi. [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂 Hawa watu wapumbavu mno

Idadi ya Watanzania wanaoendesha migodi mikubwa nchini ni mara 10 ya wafanyakazi wao waliopo kwenye hayo mashirika makubwa wanayojitapa nayo na kama wanataka niwadhibitishie kitaalam waseme

Uongozi wa mgodi wa Shanta Mining Singida 99% ni Watanzania, hawa wanachukua mishahara kunyaland bado hawajaishuhudia

 
Picha ya mwisho nimeona kumbe kweli dirisha zao zinafunguka ingawa sio zote.
😂😂😂
 

Wanapenda sifa za kijinga akili hawana wakunya.
 
So your second class is no where near our third/economy class.

Ila hapo dirisha wazi nacheka kweli hapa nilipo🤣🤣🤣🤣
 
Lazima wastruggle kwa kuwa wapo kwenye majiji tu machache ili hali uchumi wa tz sio kama Kenya ambako Nairobi ndio imebeba uchumi wote au Rwanda Kigali,Uganda Kampala.Tz uchumi umesambaa ndio maana miji yetu inakua kwa pamoja.NBC,CRDB,NMB wako nchi nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…