Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ndio ulipima GDP ya Tanzania ukapata $150B? Naona kubeba rungu inakuharibu akili.
Huyo jamaa huwa zuzu kuruka, very pedestrian, he's becoming a retard๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kwani watu wa vijijini hawana matumizi?ukute wanamaisha mazuri kuliko watu wengi wa mjini, wanavipato kutoka shambani,maziwa,mayai,mbogamboga,mazao ya chakula ,matunda nk
Meru wako na pesa sana, wale watu wanajulikana kwa sifa za kununua magari zero milliage kutoka Toyota Kenya, sio mitumba za kutoka Japan ama Dubai...Miraa business, and other deals..,
Pia kalenjins wako na hiyo tabia ya kununua gari zero milliage.., mpya! I lived among them kitambo kidogo.
 
Kwani watu wa vijijini hawana matumizi?ukute wanamaisha mazuri kuliko watu wengi wa mjini, wanavipato kutoka shambani,maziwa,mayai,mbogamboga,mazao ya chakula ,matunda nk
Haya sasa tuonyeshe kitu kama hiyo from Tanzania.
 
By end of this year. KCB is going to eclipse Exim Bank from top 5 biggest banks in Tanzania by asset value. KCB assets sh 1.1T, Exim sh 1.2T.

Nimejiuliza crdb imekuaje na mtaji kuzidi nmb nani anaweza nipa brief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ