Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,709
Unaelewa hata unachokiongea,.? nikitaja hizo modern infrastructure unafkiri Nairobi inaweza kaa na DAR mahala pamoja.? 2 overwater Cable stayed bridges, three phases of BRT, 2km of SGR viaduct in the city center, a good number of BRT terminals, kama ni hivyo vi interchange mixer flyovers tunavyo.. sasa nani ni zaidi mzee.? 🤣🤣🤣.. u will never have BRT and those Cable stayed bridges labda kwa miaka 50 ijayo. Alafu upo hapa kujipiga kelele 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yaani ni Dar tu? 😂 😂 😂 miaka ngapi? alafu unalazimisha kujifananisha na Kenya, cheza na akina Malawi na Msumbiji ukingoja mkamilishe hizo interchanges 5 za hovyo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kubali tu Mkorea ameteleza ndani bila Kinga 😂😂😂Unafanana na ule wenu?nyamaza
Nilisahau ile overpass ya magomeni mzee wanguKama haujazunguka mjini wala usitoe idadi,nimeshangaa tu kibaha highway ina overpass 3 hadi sahv,pale magomeni kama unaenda kigogo round about kuna overpass ,sa sijui maeneo mengine
Kilwa Road wanajenga flyover 2,Nyerere Road flyover pale chang'ombe ,Mjini kama hujapita muda mrefu utashangaa
Other things aliwashauri wakubaliane na ushogaShule tu? What are the other things?
Wewe ni tahira haswaaa unailinganisha kichwa cha treni vs behewa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kubali tu Mkorea ameteleza ndani bila Kinga 😂😂😂View attachment 2398525
mtungi wa ccm😂😂
View attachment 2398526
Kenya tulishajikubali View attachment 2398533
Juzi nilikua naangalia documentary ya current mega projects zao, ya kwanza ni Lapsset 😂😂😂😂 nikalog off!Hiv strategic projects za Kunyaland ni zipi .? 🤣🤣 Taifa Lina future mbovu hili.. watu wake wapo humu kupigizana kelele na Tz
Control jiggers kwanza fukara ninyi!We made our future long time ago. That's why we currently control Tanzania.
🤣🤣🤣 Hawana lolote, ni taifa ambalo halina dira .. tunabishananao tu kusogeza sikuJuzi nilikua naangalia documentary ya current mega projects zao, ya kwanza ni Lapsset 😂😂😂😂 nikalog off!
Umaskini mlionao hata blind anauona bila kuambiwa 😂😂😂😂Tukiwaambia mko na city moja na Mombasa ni mwenzenu mnanuna.,
wacha tuone 3 level Changamwe interchange final touches..., (Mombasa)
View attachment 2398496
View attachment 2398497
View attachment 2398498
View attachment 2398501
Imekuuma sana unatafuta pakutokea.., ngojeni miaka 100 mbele kisha mje tujadiliane., la sivyo koma kule kwenu 😂 😂 😂 😂 😂
kwani Tanzania kwetu hakuna wabeba maji na mkokoteni???kwanza Dar ni wengi sana!!!🙄mumependa sana kujifanya highclass jamii forums na uko chini watz tunaumia!!
Kushoto jiggers kulia njaa, pimbi wewe 😂😂😂Imekuuma sana unatafuta pakutokea.., ngojeni miaka 100 mbele kisha mje tujadiliane., la sivyo koma kule kwenu 😂 😂 😂 😂 😂
Myaka mia 🤣🤣🤣 itakua history watoto wenu wakisoma kwamba mlikua in same development level na Tz. Kwa tunavyoongea now you are nothing to usImekuuma sana unatafuta pakutokea.., ngojeni miaka 100 mbele kisha mje tujadiliane., la sivyo koma kule kwenu 😂 😂 😂 😂 😂
Hekaya za abunuasi hizi.., najua how Dar looks and those projects na flyovers uchwara.., "bichi kidimbwi na vilima", ringa na cable stayed bridge pekee, ngojeni miaka 25 mbele kisha mje, hizi bluh bluh zako pelekea wa Malawi kuleee sio mimi, Dar naweza ianika tokea kushoto hadi mwisho wa kulia na kaskazini hadi kusini 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Unaelewa hata unachokiongea,.? nikitaja hizo modern infrastructure unafkiri Nairobi inaweza kaa na DAR mahala pamoja.? 2 overwater Cable stayed bridges, three phases of BRT, 2km of SGR viaduct in the city center, a good number of BRT terminals, kama ni hivyo vi interchange mixer flyovers tunavyo.. sasa nani ni zaidi mzee.? 🤣🤣🤣.. u will never have BRT and those Cable stayed bridges labda kwa miaka 50 ijayo. Alafu upo hapa kujipiga kelele 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
I wish ingekuwa imejengwa uku kwetu Dar🇹🇿🥺uku kwetu Barabara za kikorea tuuh!mashambani !!Zoea Kenya chief Tahira.., Mombasa dawa.,
Roads under construction..., final touches...,
View attachment 2398516
View attachment 2398515
View attachment 2398514
unasukumwa na wivu na blind patriotism, yaani maoni yako tu.., uliza wageni wasio wakenya ama watanzania utapata jibu., ujinga zako ni zako tu dogo, unatia huruma bana., utakufa mnyonge kwa hizi fikra uchwara 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Myaka mia 🤣🤣🤣 itakua history watoto wenu wakisoma kwamba mlikua in same development level na Tz. Kwa tunavyoongea now you are nothing to us
Kwa hiyo mkiletewa vichwa, hizi behewa zitabadilika kua emu ama? 😂😂😂 wacha kutumia kichwa kama roundabout ya upepo. Kubali mkorea ameteleza bila kingaWewe ni tahira haswaaa unailinganisha kichwa cha treni vs behewa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Usipotee njia kima, sio Nairobi ni City nyingine inaitwa Mombasa.., ngojeni miaka 25 mbele ndio muone such outside Dar.., 😂 😂 😂 😂 😂 😂
When was your last time ulikuja DAR ..? 🤣🤣🤣.. heb anika hizo flyover na interchange za DSM tuone.. kitu mtataja hapa ni jidipii tu .. ground ipo hivi.. tuko na km za SGR mara nne ya mlizonazo. Mnaota kuwa na BRT while we have three phases of them. Ktu chenye u ar proud of ni flyovers in which tunazopia. Nyinyi si chochote kwetu Mzee 🤣🤣🤣🤣.. tuko na kila kitu kuwazidi nyie endeleeni kupost vi apartment ndio comfort zone yenu .. sio miradi ya kimkakati mzee ..Hekaya za abunuasi hizi.., najua how Dar looks and those projects na flyovers uchwara.., "bichi kidimbwi na vilima", ringa na cable stayed bridge pekee, ngojeni miaka 25 mbele kisha mje, hizi bluh bluh zako pelekea wa Malawi kuleee sio mimi, Dar naweza ianika tokea kushoto hadi mwisho wa kulia na kaskazini hadi kusini 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Taifa la city moja, ufukara watu wengi GDP ndogo., upuuzi mtupu😂😂😂😂😂😂😂