Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe jichekeshe tuu hiyo kitu sio mtungi wa changaa kama wenu. Full HVAC system pulled by electric locomotives. Tutakuwa na mix ya type 2 za train those that are pulled by electric locomotives for lower fares and affordability na pia inabeba abiria wengi zaidi na type nyingine ni EMU currently being produced by Hyundai Rotem
 
Umepata darasa ata kama unajitoa ufahamu ilimradi tu u respond, I know u buffoons, u cant accept truth πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .., u got the point and u understand why Tz is a perennially poor country despite.., so wake up from your day dreaming and do something about your personal life idiot.., la sivyo vizazi vyako vyote vitakufa kwa ufukara ulio shika mizizi Tz.
 
Mama ni mzito kuliko Baba ndiyo maana hata Obama hakuwahi kujiita au kujivunia ukenya, even Rish Sunak ukitoa India nchi iliyo moyoni mwake ni ya mama yake ambayo ni Tanzania, Wakenya japo itawauma ila huo ndiyo ukweli.
That new UK prime minister is neither Kenyan nor Tanzanian. Acheni ujinga ya kukwamilia vitu. For Obama, he is Kenyan. Even the name is Kenyan, he accepted his Kenyan identity and that's why he came back to Kenya when he was young to know his true origin and story. In Kenya we don't force things.

 
Umemfinya penyewe, facts dawa ya vilazaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapa ingekua Tanzania, a town with a park, organized estates, an interchange, malls and such aesthetics, ingekua miongoni ya towns zao zenye wanaita eti city walai., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚


 
The guy has no roots in Africa. So sijui mbona wanalazimisha awe more Tanzanian than Kenya when in reality he is not African. He has no African blood flowing through him.
They feel bad baba yake alizaliwa kenya, ila hana asili ya kiafrika, generational blood is aligned to the father's roots not mother, ni wivu tu.., so they have to force.., u don't understand Tanzanians here, wanalazimishaga waonekane juu ya Kenya kwa vyovyote vile, anything that places Kenya above they must find something to argue against, hehehe the dude is Indian ata kama baba yake was born in Kenya, unlike Obama whose ancestry roots are here..,
 
Hawa ni wajinga tu. Hadi Lupita huwa wanakana ati sio mkenya.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hawa ni wajinga tu. Hadi Lupita huwa wanakana ati sio mkenya.πŸ˜‚πŸ˜‚
Na msichana anaongea kijaluoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚na baba yake ni Governor wa Kisumu, wivu ni laana maze πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Na msichana anaongea kijaluoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚na baba yake ni Governor wa Kisumu, wivu ni laana maze πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Mimi acha niendelee kuchekaπŸ˜‚πŸ˜‚

 
Tanks can be for water storage or air pressure for braking system
Muulize hapo kwao si wanatumia diesel alishaona matanki ya mafuta yako kwenye behewa, na huyu ndio msomi anareason namna hii, no wonder ghorofa zinakula mweleka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…