The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Inaonekana jamaa unga ndio kila kitu kwao.Huyu rais si awaambie misukule yake ukweli Watanzania ndio wenye uwezo wa kubadili bei ya unga kunyaland [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anaendelea kuwalisha ahadi hewa
Acha niende apa chini nicheke huu mtungi wa stimaIsijifanye kondoo[emoji23][emoji23]
Inaonekana jamaa unga ndio kila kitu kwao.
Ukiondoa ugali hakuna kingine kunyaland wanajua au kumudu kupika, ndio maana akili zao zimedumaa sababu ya kutawaliwa na ugali wa mahindi kama panya 😅😅😅😅 mimi hata sijui mwisho nimekula ugali lini!Inaonekana jamaa unga ndio kila kitu kwao.
Kwa akili zako tenki za mafuta kwenye train zinakuwaga kwenye behewa?Hey watu wa electrified SGR. What are the use of these tanks in your Trains?
View attachment 2397744View attachment 2397745
Onyesha wapi kati ya hizo nchi watu wanakufa kwa njaa. Faida ya GDP ni kusaidia pale matatizo yanapotokea ili wananchi wasipate athari kubwa, hizo nchi zote hutumia GDP zao kuhakikisha kwamba hakuna raia anayekufa kwa njaa, ni Kenya pekee ndio watu hufa kwa njaa kila mwaka[emoji23][emoji23][emoji23]Pia waulize hawa giants wa Africa GDP iko wapi?..., haujui relation ya GDP na economic challenges ya nchi husika, Tz yenye double digit GDP hamuna lolote wala haujui lolote fukara [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
wacha nizungumze na mataifa yenye triple digits GDP niwaulize swali lako kuhusu GDP kilaza..,
"Egypt kuna mkwara flani anajiita joto la jiwe anauliza GDP yenu iko wapi kwa hizi challenges zenu?"
View attachment 2397529
View attachment 2397530
View attachment 2397531
View attachment 2397532
Tuelekee South Africa, another tripple digits economy.., another giant in Africa..,
"SA where is your triple digits GDP?" (courtesy Kilaza ajulikanae kama joto la jiwe )
View attachment 2397536
View attachment 2397535
View attachment 2397534
Nigeria, Morocco na Ethiopia sitaji challenges zao licha ya kukua na triple digits GDP, matatizo yao ni mengi mno..,
So kilaza joto la jiwe , ukubwa ama udogo wa GDP sio suluhisho kwa matatizo ya nchi ila ni utenda kazi wa viongozi husika na uwajibikaji wa raiya kujikimu kimaisha., sio uzembe na ushamba kama mlio nayo wengi wenu, mpo mpo tu, ndio maana mmebakia taifa lenye watu wengi fukara wa kutupwa zaidi ije upande wa SADC ama hapa EAC licha ya rasilmali na udongo wenye rotuba.., bado GDP yenu ni double digits na taifa ni kubwa na watu pia ni wengi!!! janga hili!
Kenyans who are politicians, they buy them from your moneyI won't be surprised to find out that those helicopters are owned by Kenyans.
Tanzania sio Kenya, hatuwezi kutumia Diesel trains[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapa mmegongwa ndugu. Na ebu niwaulize, kumbe mlidanganywa na mnanunuliwa trains za diesel?[emoji23]
View attachment 2397735
Hahahaha, SGR yenu tayari Kuna kunguni[emoji23][emoji23][emoji23]
Nahisi watajenga kuna foleni sana na barabara imechokaHii barabara ya Mwanza 4 lanes ijengwe haraka
Mbona unauchungu sana tukiing'ang'ania SADC?Hii SADC Wabongolala huwa mmeing'ang'ania Sana yet Wasauzi hawawatambui hata kidogo.
Mama ni mzito kuliko Baba ndiyo maana hata Obama hakuwahi kujiita au kujivunia ukenya, even Rish Sunak ukitoa India nchi iliyo moyoni mwake ni ya mama yake ambayo ni Tanzania, Wakenya japo itawauma ila huo ndiyo ukweli.Tuna mpambe wetu huko UK View attachment 2397966
Nilijua utampa vipande vyake thus y nikamuwacha na upumbavu wake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Onyesha wapi kati ya hizo nchi watu wanakufa kwa njaa. Faida ya GDP ni kusaidia pale matatizo yanapotokea ili wananchi wasipate athari kubwa, hizo nchi zote hutumia GDP zao kuhakikisha kwamba hakuna raia anayekufa kwa njaa, ni Kenya pekee ndio watu hufa kwa njaa kila mwaka[emoji23][emoji23][emoji23]
Simple, short and clear [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kenyans who are politicians, they buy them from your money
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tanzania sio Kenya, hatuwezi kutumia Diesel trains
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaha, SGR yenu tayari Kuna kunguni[emoji23][emoji23][emoji23]