Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Stupid bongolala
 
Hii noma, sioni chochote hapo
Kama unataka surbubs
Ukija Dar tembelea maeneo haya
Upanga
Masaki
Mikocheni
Oysterbay
Bahari Beach
Mbezi Beach
Kawe
Msasani
Kijichi

Baada ya hapo nenda Pia
Segerea
Tabata
Kinyerezi
Tegeta
Bunju
Mbweni

Sisi nyumba tunajenga wenyewe kwa pesa zetu, Mortgage haikuwa priority kwetu kwa sababu inatengeneza matabaka ya majizi.
Hata sasa Mortgages zinafanywa na mashirika na baadhi ya watanzania wachache Kwenye nazo.

But 95%+ ya nyumba za kuishi zimejengwa kwa kipato cha individuals
 
nyinyi na party moja?
 
hongera sana kwa kusifiwa na mzungu...[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
dont make this a racial thing bro...๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€...umesema mwandishi mkenya na ndio maana nikakuletea picha ile ili niku kosoe...ama kweli, ukitaka kujua mambo yalivyo nyumbani bila shaka ni vizuri kumwuliza mtu wa nje kwa sababu ni mgeni tu ndiye atakayeweza kubaini harufu mbaya iliyo sebuleni mwako...wewe mwenyewe huwezi ukainusa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ