Umenyooka 😂 😂 😂 😂 😂Imewasaidia nn sasa, njaa iko pale pale na imezidi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
KitusuruHakuna mji umekaa Ulaya hapa EA kama Moshi kwa kila kitu, kama unabisha twende ground, kuna mtu kaitaja Kitisuru mpk nikatamani kutapika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Rudi shule upate masomo wacha kuanika idiocy yako humu,.., mwenzake The best 007 makapuku na mamburula mko wengi kumbe😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂.,Afu watanzania. Ukiacha na mwaka wa 2021, mbona hawa wakurugwa wa kaskazin hakuna mwaka wametuzidi kwa growth % lkn sis GDP ipo almost kulekule chin ya 65? Au numeric change yao ni kubwa zaid? Lkn hakuna dalili ya kuwasogelea inspite of big % change yetu ya kila mwaka. Kuna uwalakin
Kila mtu au institution ina forecast zake. Lkn forecast za nyuma zinakuwa sahihi kwa institution husika. Mfano IMF wakitoa report ya mwaka 2022, bas data za forecast za IMF za miaka ya nyuma mf 2020, 2019, 2018 etc zitakazoandikwa kwenye hio report ya 2022 zinakuwa the real data kwa IMF husika, mfano mwaka 2019 walisema labda forecast ni 4% lkn report ya 2021 labda itasema growth % in 2019 ilikuwa 5% (the real one). Chunguza, ukiona tofauti niambie.Ninachoweza ku comment kuwa hizo ni forecast zinaweza kuwa ukweli au zikatofautiana kidogo..
GDP Ya Tanzania ni 67.8 bil usd last year bila kuweka Zanzibar..ukiweka Zanzibar it goes up hadi 72 to73bil usd
Forecast zinakuwa dertemined na benki kuu ya nchi plus sources nyingne kama World bank IMF ..plus unaweza kukua zaidi ya forecast
Kama mfano forecast ilikuwa 4.7% quater ya 1 ya 2022 ..ila gdp ilikuwa 5.4 %
Kuna sector kama kilimo..na fishing ambavyo naona Kama irrigation plan itazidi kuendelezwa kama mipango inavyosema tutakua zaidi
Kitu kingine i think vitu kama SGR , Ports nying na project nyingne kama JNHPP, Industrial Parks in Kibaha . bado zina contribute in terms of construction ..kuliko kugusa area nying za uchumi so maybe we are still in accumulating phase View attachment 2387571
Wew dogo sijakataa kuwa numeric change zenu ni kubwa kuliko zenu, soma comment yote..tatizo umekurupuka tu unijibu.. afu hizo hesabu fanya wew, utumie hizo % kwa kila moja uone saiz kila mtu ana ngapRudi shule upate masomo wacha kuanika idiocy yako humu,.., mwenzake The best 007 makapuku na mamburula mko wengi kumbe😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂.,
Nataka uonyeshe size ya GDP for the last 10 years na % growth kila mwaka fanya hesabu uone kama wasomi wa uchumi wamekosea, wewe mburula haujui lolote, ni ushabiki na blind patriotism zinasukuma fikra zako but not reason..,
anza na mwaka wa 2010.., uchumi wenu ulikua $32B..., anza hapa usonge hadi 2022..., na ufahamu 5% ya uchumi kubwa haitoshani na 7% ya ka uchumi kadogo kama hako kenu😂😂😂😂., na 2% economic growth ya SA ama Nigeria ni kubwa in dollar terms kuliko 5% ya nchi za EAC kilaza.., ujinga wacha vijiweni bana😂😂😂😂😂😂..,
View attachment 2387600
Muthaiga is a restricted area, you are not allowed to fly drones above it.Hauna aerial view..?
There are no mud roads in Karen, Karen sio Masaki bradhee.Karen ya barabara za tope!
u were very clear.., now u know better I guess.,Wew dogo sijakataa kuwa numeric change zenu ni kubwa kuliko zenu, soma comment yote..tatizo umekurupuka tu unijibu.. afu hizo hesabu fanya wew, utumie hizo % kwa kila moja uone saiz kila mtu ana ngap
hapa ulikurupuka ata hauijui uchumi wenu ulivyo na ukuaji wake kila mwaka hadi kufikia where it is as at now.., angalau ungechukua hisia zako kama hypothesis, kisha ufanye uchunguzi wa kitalaamu uone kama uko sahihi au la kwa maana all information iko available kwa mitandao..,mbona hawa wakurugwa wa kaskazin hakuna mwaka wametuzidi kwa growth % lkn sis GDP ipo almost kulekule chin ya 65? Au numeric change yao ni kubwa zaid? Lkn hakuna dalili ya kuwasogelea inspite of big % change yetu ya kila mwaka. Kuna uwalakin
Imekua USA iyo au sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ili tuwafikie Kenya inabidi gdp ikue kwa 10% mfulululizo kwa miaka kama 8 hivi chini ya hapo tutaendelea kula za uso...
Vivyo hivyo yao ikue kwa chini ya 10% yani isivuke 7% kwa kipindi hicho cha miaka 8
Kamwe huwezi kunifunza kiswahili mm wewe, kiswahili ninachotumia humu ni sawa na kile ninachotumia kwenye text. Ni sawa na nikitext kwa kingereza niandike Yec badala ya Yes, au niandike Oukay badala ya Ok, mm nikiamua kuandika kiswahili fasaha kamwe hutonielewa, au nikiamua kuwa nakukosoa kuhusu kiswahili basi utajicheka humu.sio maladhi ni maradhi.., tabia ya Tanzania tokea mababu [emoji13] [emoji23]
Peleka upumbavu wako mbali, hii ni tabia ya kikunya, unaweka video ambayo kabla ya kuifungua utakuta mbele imewekwa vijumba viwili vitatu but ukifungua ni mavi yale yale, nani asiyeijua Kenya humu? Labda mgeni, so hii video sifungui itanimalizia mb zangu bure.Kitusuru
Una drone anko?Muthaiga is a restricted area, you are not allowed to fly drones above it.
Airport hauna free wifi[emoji1787]Peleka upumbavu wako mbali, hii ni tabia ya kikunya, unaweka video ambayo kabla ya kuifungua utakuta mbele imewekwa vijumba viwili vitatu but ukifungua ni mavi yale yale, nani asiyeijua Kenya humu? Labda mgeni, so hii video sifungui itanimalizia mb zangu bure.
hivyo ndio huwa mnazungumza kilaza.., ni lafudhi yenu, hamzungumzi Kiswahili fasaha..,Kamwe huwezi kunifunza kiswahili mm wewe, kiswahili ninachotumia humu ni sawa na kile ninachotumia kwenye text. Ni sawa na nikitext kwa kingereza niandike Yec badala ya Yes, au niandike Oukay badala ya Ok, mm nikiamua kuandika kiswahili fasaha kamwe hutonielewa, au nikiamua kuwa nakukosoa kuhusu kiswahili basi utajicheka humu.