Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani ulisema wapi tukuombee ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Bora wewe umejaribu kdg kuliko Mr. Ukungu, broken nyingiiii kumbe hata simu tu ya maana kdg inamshinda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyo kwa pembeni ndiye bibi yako?[emoji846][emoji846][emoji846],na hicho chakula ni gani??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kama bambo vile
Koti kama limetolewa kwenye mdomo wa ng'ombe [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2382318
Suti ilishonwa na mkono hii, halafu hawana dental clinic yaani Naibu Rais anashindwa kusafisha meno kweli??
Huku kwetu humkuti mbunge yuko rough sembuse ngazi ya Urais.
Usafi! Usafi jama!!
 
Suti ilishonwa na mkono hii, halafu hawana dental clinic yaani Naibu Rais anashindwa kusafisha meno kweli??
Huku kwetu humkuti mbunge yuko rough sembuse ngazi ya Urais.
Usafi! Usafi jama!!
Huyu hapa kama kawa anarepresent kunyan wenzake na kiingereza cha mchongo,kunyan kiingereza hawajui kiswahili hawajui,wapo wapo tu
 

Attachments

  • 6ad5eca7cd9a8cdf3f583b6c5e7143f6.mp4
    2.9 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ