Kiswahili sio mchezo kabisa...ukikuta wale wataalamu wakichambua ndio utatambua mambo yalivyo ...shuleni nilikuwa gwiji wa uandishi wa insha...tuseme nimelegea kidogo ila kwa uandishi wa kiswahili mie ni sugu...kiukweli
Jaribu tu,Ila me bongo uko badae daladala zitakua ziaishia vichochoroni maana barabara kuu zote ni mwendokasihivi niulize matatu zilizopigwa rangi na kuwekwa nyimbo zinakubaliwa tanzania kisheria kweli? naweza nikawa mwekezaji...
Most of these old Fiat and fuso's are being transformed into City Matatu'sMade in Nairobi for Tanzanians.
nai is my second home...i have lived there for like 6 years...since then,I have been visiting it after every 6 month.utakua umeishi Nairobi wewe...unajua mengi kupita kiasi...Hessy ulimjulia wapi...ama ulikua mkora pia...
Wabongolala wote wamewai kufika Nairobi kupitia mitandao ya kijamii haswa hapa JF. kila mbongolala atakuambia kuwa ameshawai kuwa na demu mKenyanai is my second home...i have lived there for like 6 years...since then,I have been visiting nai after every 6 month.
sasa kwani kipi cha ajabu cha kufanya tusije hapo Nairobi?...kama unadhani kujifungia nairobi ni deal endelea kufanya hivyo.Wabongolala wote wamewai kufika Nairobi kupitia mitandao ya kijamii haswa hapa JF. kila mbongolala atakuambia kuwa ameshawai kuwa na demu mKenya
Acha vako ww ulikua unadoz mtaa ganinai is my second home...i have lived there for like 6 years...since then,I have been visiting nai after every 6 month.
punguza kulia.....sasa kwani kipi cha ajabu cha kufanya tusije hapo Nairobi?...kama unadhani kujifungia nairobi ni deal endelea kufanya hivyo.
I know right? Thanksa lot of make up....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwahyo hamuamini Au?Acha vako ww ulikua unadoz mtaa gani
Tutaanza kuwauliza area code za mat ama specific streets uone wakigugumia hapa..................wasee wamefika Nai apart from kadoda wainue mkono niwapatie RAT
Iyo kalae n ya Ronga au wapiNganya imesukwa kuskuma.....
buru 58 mseeAcha vako ww ulikua unadoz mtaa gani
sawa mseepunguza kulia.....
buru 58 msee
hapana....leo niko na flue.,so nimeona bora ni chili tu kwa keja.Nairobi ilikufundisha ujanja sasa unatumia huo ujuzi kutupiga vita....Hahaha. I like that.....Leo hukuenda bata batani