dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
hii ramani, ukiitizama polepole, na uitafakari🤔🤔 utaelewa mbona.In late 2022, so called a country with the biggest economy in East Africa bado inaendelea kuwa nchi yenye njaa. Sad but its funny 😂
Kumaanisha moro-makutopora 💯 done?Kuwasha tu kusikiliza taarifa ya habar, nakutana na hiiView attachment 2369061View attachment 2369062
Hawa maskini kitambo tulisha waambia sis sio saizi yao.Update: electrical SGR Dodoma-Dar es Salaam
Relief food from the Kenyan government to Kenyans. You speak as if it is a donation from Tanzania. If it was you people would never shut up.Siku HE Samia Suluhu Hassan afanye huu upumbav! [emoji23][emoji23][emoji23]
Hawana hata aibu kidogo.
Gari za Mahindi znaingia had state House??? Y wasipeleke kimyaa kimya naona ka wanajiaibisha aseee ....ujinga mzgo[emoji23][emoji23]
In late 2022, so called a country with the biggest economy in East Africa bado inaendelea kuwa nchi yenye njaa. Sad but its funny [emoji23]
aawapii 100% unga umetoka Tanzania!Relief food from the Kenyan government to Kenyans. You speak as if it is a donation from Tanzania. If it was you people would never shut up.
Donation ama umenunuliwa?aawapii 100% unga umetoka Tanzania!
donation!Donation ama umenunuliwa?
Eti Tanzania idonate kwa Kenya? Mmeanza kupata wendawazimu humu. 🤣 🤣 🤣donation!
Nimesama nikacheka tu. 🤣🤣Eti Tanzania idonate kwa Kenya? Mmeanza kupata wendawazimu humu. 🤣 🤣 🤣
Hiyo ni barabara? 🤣 🤣Kunyaland hatuwahudumii ninyi tu, tuna majukumu lukuki ya kikanda, tumebebeshwa mzigo wa lishe ya almost nusu ya Bara la Africa, ninyi kuhudumia matumbo yenu machache tu japo hata kwa 30% kunawashinda 🚮🚮🚮
Sasa wapi wamesema ni donation from Tanzania? 🤣 🤣
Majirani wana Njaa naona Pres Ruto akijipanga kuwapa chakula cha Msaada, kinachoboa ni icho kingereza kingi alafu jambo linalozungumzwa ni Njaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787].....Matumizi ya lugha yakibiashara kuzungumzia vitu vya aibu
Nimetazama video mara mbili nione kama nimekosea lakini wapi? 🤣 🤣 🤣Sasa wapi wamesema ni donation from Tanzania? 🤣 🤣
Nakwambia watu wameanza kuwa wendawazimu humu. 🤣 🤣Nimetazama video mara mbili nione kama nimekosea lakini wapi? 🤣 🤣 🤣
I thought ulisema ni donation from Tanzania, hivi WFP ni ya Tanzania?🤣🤣WFP food
Sio 100 ila treni la disel linapita...umeme kutoka moro hadi dom bado hawajamaliza kufungaKumaanisha moro-makutopora [emoji817] done?