Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nadhani wewe ndio hujawai fika uko. Tazama Abuja, Banana Island, Ikeja, Enugu, Calabar n.k. Nigeria Ina miji mingi kuliko East Africa na pia kuna vitu zipo huko Sisi hatuna kama commuter light train. Sisemi West Africa ni Bora kuliko East Africa bali nasema haya mazoea ya kupost the worst places of other countries mko nayo Sana bila kuelewa hizo nchi nazo ziko na sehemu zao bora za kujivunia. Mazoea haya yanamfanya kujiskia mko bora kuliko nchi zingine. Nimetazama Instagram page ya Jamii Forums kwa mfano nikaona mnashare negative news kuhusu Kenya huko sana wakati positive news hamweki. Mko na shida hapo.
 
Ndio hizo rating agencies wanaaminisha ulimwengu kuwa sisi ni maskini na hizo nchi ni tajiri kama wapumbavu Wakenya wanao pambwa na uchumi wa makaratasi wakati hata chakula hawana.
Mimi nimeenda kwenye largest (commercial) cities ndio zinatoa mwanga mzima. Abuja apart from barabara za hapa na pale kama Nairobi, hamna kitu.

Usiongelee kuhusu Enugu, maana huko ni zero! wewe nawe ni mjinga. Usiongelee mija wanayojenga. Walijenga BRT pia ni ushuzi.
 
Soma nilichoandika na ujibu kulingana na nilichoandika. Ulichoandika hakihusiani na nilichoandika hata kidogo. You're simply explaining the obvious that has nothing to do with what I said.
 
Kama ungekua umefika Nigeria hungeongea Huu utopolo maanake kwa barabara, Dar haiwezi hata nusia Abuja, Wacha kuifikia.

Na ukisema Nairobi barabara zake ni za hapa na pale Sasa Dar utasema nini?🤣
 
halafu nimegundua ninaongea na hayawani. Ikeja ni sehemu ndani ya Lagos, kufika huko transport ni hzo za njano unapanda. West African countries hamna kitu!

Nimetembe kadhaa!
 
halafu nimegundua ninaongea na hayawani. Ikeja ni sehemu ndani ya Lagos, kufika huko transport ni hzo za njano unapanda. West African countries hamna kitu!

Nimetembe kadhaa!
Nani kasema ni sehemu ya Dar? Unajua watu wasio na knowledge hupenda kusema vitu obvious unnecessarily ndio waonekane Wana maarifa. Nikisema Ikeja ama banana Island natumai kila mtu anayenijadili mambo ya miji hapa ajue ni Lagos, kama kujua kitu obvious kama hicho ni Jambo la maana Sana kwako then Huu sio mjadala wako.
 
Mi nimepost transport zao hapa za miji mikuu na wewe umesema nimetafuta sehemu mbaya mbaya. Nimekuambia kitambo, tafuta best za transport Nigeria nzima ukiachia miradi ya mchongo ya vijit tram vya kubeba watu 15 in less than 50 km. Lete hapa best transport zao, acha maneno mengi.
 
Tatizo uko kishabiki zaidi. Nigeria ni zero. Ulivyotaja Enugu nikajua kabisa hujui chochote.
Ukitoa Dar, hamna mji Tanzania unaoweza kuifikia ama kushindana na Enugu for your information. Tembea ujionee. Ukiacha kushare picha za area mbovu nchi zengine utajiona mjinga jinsi ulivyo.
 
Sina muda was kupost mambo ya Nigeria humu kuprovia mtu mjinga kama wewe kitu. Kama yanakufurahisha, endelea kupost picha za ovyo za nchi zengine kujiliwaza.🚮🚮
 
Sina muda was kupost mambo ya Nigeria humu kuprovia mtu mjinga kama wewe kitu. Kama yanakufurahisha, endelea kupost picha za ovyo za nchi zengine kujiliwaza.🚮🚮
Sio una muda. Wewe ulida kuwa, mimi nimechagua sehemu mbaya mbaya kwenye hiyo miji. ndio nikakwambia, post wewe their best transport kwenye hizo nchi zote nilo orodhesha, simple. It's not you cant, there is none. Pia waweza post transport za Kenya pia.

sasa sisi tuliopost asitu accuse of being bias.
 
Hana muda halafu bado anaquote quotes zako! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sina muda was kupost mambo ya Nigeria humu kuprovia mtu mjinga kama wewe kitu. Kama yanakufurahisha, endelea kupost picha za ovyo za nchi zengine kujiliwaza.🚮🚮
Sio una muda. Wewe ulida kuwa, mimi nimechagua sehemu mbaya mbaya kwenye hiyo miji. ndio nikakwambia, post wewe their best transport kwenye hizo nchi zote nilo orodhesha, simple. It's not you cant, there is none. Pia waweza post transport za Kenya pia.

sasa sisi tuliopost asitu accuse of being bias.
 
Ukitoa Dar, hamna mji Tanzania unaoweza kuifikia ama kushindana na Enugu for your information. Tembea ujionee. Ukiacha kushare picha za area mbovu nchi zengine utajiona mjinga jinsi ulivyo.
Hamna kitu not just in Enugu but kote Nigeria. Nigeria is this huge dustbin! The largest city in Nigeria is Lagos, ndio mji mkubwa Nigeria na tumepost transport za huo mji. Nini tean??
 
Just accept that you were biased. These are some of the public transport in Nigeria.

Port Harcourt, Nigeria's third city.

This is the only functioning monorail in Africa, Egypt will join soon.

Consumption ya cement China ni 2× ya nchi zote kubwa Duniani
 
Abuja. It has both light rail and mass rail.

Light rail.

Mass rail
 
Kila mara nakwambia wewe ni mjinga.

Hakuna nchi ya wenye akili wakajenga hivyo vitram vya kubeba watu 15 na kwa urefu usuiozidi 50km kwenye nchi ya watu zaidi ya 240 Million.

Wewe ni mpumbavu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…