Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣 🤣 🤣 I knew this was coming here within minutes. I was shocked it took this long.
yani, wanafwatilia😳😳 sana mambo ya kenya hawa watu 24/7 ikiongozwa na Geza.. huku sisi hatuna shugli na nchi yao.

yani hua tunapata tu tarifa za nchi yao kupitia hapa hapa jf ...pwahahaha🤣🤣🤣
 
yani, wanafwatilia😳😳 sana mambo ya kenya hawa watu 24/7 ikiongozwa na Geza.. huku sisi hatuna shugli na nchi yao.

yani hua tunapata tu tarifa za nchi yao kupitia hapa hapa jf ...pwahahaha🤣🤣🤣
Hiyo video niliiona tu hivi facebook nikaja hapa nikajua lazima niipate. 🤣 🤣
 
yani, wanafwatilia[emoji15][emoji15] sana mambo ya kenya hawa watu 24/7 ikiongozwa na Geza.. huku sisi hatuna shugli na nchi yao.

yani hua tunapata tu tarifa za nchi yao kupitia hapa hapa jf ...pwahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wew ambaye unamjua mpaka mchizi mox unajifany hufuatilii bongo[emoji28]
 
KwahKwahiyo unataka kusema lazma iwe Toyota Land cruiser VX? Gari brand nyingine kama KIA ama Hyundai haiwezi ku-offer same comfort?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…