Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Fifth consecutive tittles. Kwani hakuna shule za Tanzania that can rival Kenyan teams in any sport?
 
Mnasherehekeaga Vito vidogo sana nyie mbwa 🀣🀣 WCB artists karibu wote wameshatokea kwenye screens za times square US πŸ‘‡ . πŸ‘‡ . Zuchu pia amwshatokea kwenye screens za times square.. Chibu ameshatokea mara mbili ..🀣🀣🀣 ushamba na kuwaaabudi wazungu ndio vinavyokufanyeni muone hiv ni vitu vikubwa sana
 
Wewe jinga keep your propaganda to yourself! Not all here are fools!
 
tuusan mbona huelewi simple things? None of the buildings in this picture is 20 floors. I thought you were much smarter than most Tanzanians here.
Kwani ya 25 floors hukuiona?
Na ulivyocement kwamba most of em ni 5-8flrs nio nikakuonyesha izo za 15floors...wacha kulazimisha maujinga yako
 


MY TAKE
Huu ni mtego media zote za Kimagharibi zimetega kuskia hatua gani zitachukuliwa na kuanza kampeni za kutibua utalii! Hawa watu ni wapuuzi sana!

 
Upanga Kuna gorofa Tatu zenye ziko na 20+ floors Ambazo ni
1. Uhuru height 27 floors
2. Viva tower 21 floors
3. Vijana tower 20 floors ..


Vijana tower and the rest of Upanga majengo marefu yote ni Kati ya floors 10-19 πŸ‘‡.. tuusan. Hiyo mbwa insumbuliwa na wivu na roho mbaya tu
 
Anapima Imani tu Yani anadhani Upanga ni ushagoo kama Nairobi
 
Wakati Kunyaland ikiwa imefilisika na maisha magumu kwa ma hustlers,Ruto,Wetangula na genge lao wamesema watapandisha mishahara ya Wabunge zaidi 😝😝.

Wajinga ndio waliwao πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220922-191620.png
    35.6 KB · Views: 22
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…