Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

80% of Tanzanian buses are produced in Kenya, the remaining 20% come from China. This picture which you have posted only represent 20%.
🤣🤣🤣 Hapo kwanza nicheke, tuko na 100+ bus companies ambapo karibu kila kampuni iko na bus kumi na zaidi .. mifano hai hii 👇abood 👇Tashrifu👇ratco 👇Nacharo👇isamilo👇marangu👇and more and more.. zote hizi zimepanda meli kufika bongo..
 
Tashriff buses are assembled in Kenya by AVA😂😂
 
Matajiri wa magari wote Tz kwasasa wanafuata magari kutoka kiwandani na sio kutoka kwa assemblers Teargas pole kwa kuumbuka .. 🤣🤣🤣, gari zote mpya unazoziona hapa bongo zinakuja kwa meli manzee, kila siku akina The best 007 na chongchung wanapost wakionyesha gari mpya tofauti tofauti zikiletwa kwa meli kutokea ughaibuni.. wewe uko hapa kujilinganisha na Tz 🤣🤣🤣🤣
 
80% of Tanzanian buses are assembled in Kenya. That's a fact that you can't deny.
 
Kufuatia ishu ya african presidents kuweka kwenye bus, naona Magufuli anatrend huko mtandaon hasa kenya
View attachment 2361650View attachment 2361653
Kufuatia ishu ya african presidents kuweka kwenye bus, naona Magufuli anatrend huko mtandaon hasa kenya
View attachment 2361650View attachment 2361653
Do you really know how trends work? You are only seeing magufuli on your side because those who you follow (Tanzanians) are talking about him. As you can see Magufuli is not trending on my side cause no Kenyan is talking about him.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…