Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Habari njema sana hii...nilikua Arusha juzikati kuanzia Pale Tengeru hadi mjini mambo mazuri sana...ila Tengeru rudi Usariver magari ni mengi Road nyembamba,afadhali kuna Arusha bypass sijui hali ingekuaje
Itakua moja ya barabara bora sana ukanda huu hasa Japan wenyewe wakijenga ila tatizo la Japan wanajenga taratibu sana

 
nilisha kuambia
Ni mwendo wa cable Bridge 🌉 tu

ivi wakunyani wana bridge kweli
 
hahaaaa wabongo tunapiga kazi mno wakandarasi wazawa ni asilimia kubwa na training ni ya kutosha na ya hali ya juu.... najua wakunyani awaamini coz uwa ata kulima awajui hahahaaaaaaa...
 
hahaaaa wabongo tunapiga kazi mno wakandarasi wazawa ni asilimia kubwa na training ni ya kutosha na ya hali ya juu.... najua wakunyani awaamini coz uwa ata kulima awajui hahahaaaaaaa...
Na nina uhakika paka huu mzigo ukamilike asilmia 90 itakua imejengwa na watanzania wenyewe...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…