Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi ndivyo ninavyoishi na nyie wakunya, kazi yenu kupost vitu vya watu tu vyenu hamna maamaeee, mkipost unakuta mtu ana bonge la tai kama pastor [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Post chako hata kama kdg ili tuone kama japo una muscles hata kdg ya kuhudumia familia co kila siku unapost vitu vya watu kumbe uko hivi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu jamaa akiwa Rais atafanya mengi kwenye michezo.
Majaliwa Stadium, what a pitch, wamejitahidi
Mtu anayefaa kuwa Rais ni Dr Philiph Mpango hii nchi inahitaji mtu anayeweza ku-fix economy na kuwezesha kukua 8% na si kujenga viwanja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…