Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kuna watu nlisha waambia TZ uku kila mtu na land yake unaenda kupanda auna kwenu ahahahhaaaa ila kenyanni ni poor in everything niko na uhakika 10%
 
Huko ni wap
Wanapajua vzr ndio maana wamekausha, wamefanya kama wanajikuna vilee, majitu yana roho mbaya mno hayajui kupongeza except Tony254 pekee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wow on an election year, just 8 months and we are about to have our 2nd best tourism earning in history according to projections.
Arrivals rose to 91% compared to the same time last year.

Watalii wamefurika Tz mpk tunashindwa tuwapeleke wapi, mana Arusha ishajaa and now wanaingia kwa awamu [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…