Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣 Nani kakwambia DAR ni hapo chini tu?? Kwanza hiyo picha ni ya Zamani sana umeikota wapi, fanya ufike DAR ung'aze macho
 
Nmeondoa tu filter usinichukie please [emoji3064][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2352770
Alafu kwa mbele ndio panakaa hivi, japo hapa nimeacha na filter yake, kama unavyoona ni nyumba za mabati mtindo mmoja, c kwa ubaya lakini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Polepole tu kitaeleweka. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Beautification in progress.
Unakazana kutafuta picha za kitambo za Nairobi ju unajua Dar CBD haina any progress.
View attachment 2352782
Mambo tumefanya kitambo nyie mnafanya leo, kumbe mnakubali kwamba ka Nairobi hakako beauty [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kinachonifurahisha wakazi wa Dar ni ustaarabu wa kuzaliwa, yn watu ni wasafi naturally, mtu yuko radhi atembee na ganda la pipi [emoji516] umbali mrefu akitafuta dust bin kuliko kutupa taka hovyo.
 
Picha za kitambo Mzee pombe akiwa hai. Construction boom yenu iliisha kama kamisi kwa soko. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwa nafurahi nikiona mkunya akiumia kama hivi, mwenzio nmempa kichapo mpk kajiuzuru kuja JF [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…