Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dah aisee, huu ukapurwa hata Singida hamuwafikii, hivi ni akili gani inakufanya uoni hii ni sense?
 
Mngetumia nusu ya hii nguvu kwenye kuondoa slums Mombasa mngefika mbali sana 😂😂😂😂😂

Unafikiri Mombasa itapata kwa kupost these shits kila second? Unamlazimisha nani aamini kwamba Mombasa ni bora? Kama ni Watanzania umefeli sababu hakuna asieijua Mombasa ilivyo choo, mlikuja na energy hii hii kwa Kisumu eti ni bora kuliko Moshi mkaachoka wenyewe sasa mnaipigia campaign Mombasa majalalani 😂😂😂😂😂
 
Kila siku anapost picha moja ya Mombasa anazani ataongopa humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tony aliwahi kusema ipo siku ataanika uozo wa Kenya ambao hata cc humu hatujawahi kuuona, waliogopa wakamuacha kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Next is Huruma slum .........

Ujue sisi waafrika mda mwingine tuna mambo ya ajabu sana,umaskini siyo mzuri

Yaani maskini anamtunishia msuli maskini mwenzake.

Na mwisho wa point wanaishia kujipotosha tu
 
Kila siku anapost picha moja ya Mombasa anazani ataongopa humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo jamaa taahira kweli, bora angepost resorts na hotels, Mombasa ni chafu haiuziki ni mji wa kale hauna ambience kabisa

Angalia ulivyo hovyo 😂😂😂😂
 
Hauna lolote kabisaa kujibu, potelea mbali na vipicha vya zamani umeokota google,mwehu wewe,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]am so sorry rafiki nilikuwa sifahamu hilo;nitaclear vyote vilivyokuwa posted ila utanikumbusha

4.HURUMA SLUM
According to the 2019 census, Huruma sub-location covers an area of 0.7 sq.km and has a population of 75,498 persons, generating a density of 106,445 persons per sq.km.1 Feb 2020
 
Hiyo ni WB, ya kwao hii hapa na ndio ukweli mchungu, zaidi ya 67% ya wakunya ni mafukara wa kutupwa 😂😂😂😂

 
Sasa huu ushuzi utaufananisha na nini zaidi ya wenyewe? 😂😂😂😂😂

Before I thought Kibera was ugly.
This must be Cairo if I am not wrong. It is way better than Dar is a slum where 90% of the city is unplanned and occupied by squatters.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…