Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

afisa kilomo wa TZ hahahahahah mkuje
kazi ya kilimo sio mchezo. kazi ya kilimo haitaki catwalking and beautyshows tafadhali.. less hatuta kula. tutafa njaa jalani


saa hii nnn??πŸ€” ushuzi tu hii.
ata kama yeye ofisa, angevaa overall na gumboots ata ivo hii
 

Yan hapo mid income m 3 na ushee wanaishi kwenye slums
 
Mimi nikivuta karibu nakutana na hii jehanam 😒

 
Kibera pekee inafuga zaidi ya fukara million 2 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ take that to bank, hapo bado mtapakao wa maslums mengine yanayoiona Kibera mchumba tu 🀣🀣🀣🀣

 
kuna watu umu ndani wana njaa wanalilia sembe yenye sumu kuvu uloho tyu
Hii Mikunya tukiamua kesho yote ife na njaa ni uamuzi wetu tu! Yaani tumekamata nuclear button ya kanchi kao 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…