Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Have realized n edited.., Nairobi ya leo hamnidanganyi, Dar pia vile vile, nimewabana kote kote, ni Kiswahili mnanifunza humu tu kwa domo domo zenu, si unaona nime improve?.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Mombasa ina maslums mengi mpaka hayajulikani, yaani slum moja wanaishi wananchi 10,000 na wanatumia choo kimoja halafu hiyo ndio second largest city in kunyaland πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ just imagine

Mpaka amnesty international wameamua waingilie kati 🀣🀣🀣🀣



 
Bamburi estate Mombasa VS Dar ndani ya town.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚



DAR town, nyumba za waarabu na wahindiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mombasa imekuumiza roho, pole sana sio kwa kupenda kwetu, ni Kenya ilivyo, sisi kazi ni ku post tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hautapata jibu kutoka kwa Dar outside CBD makazi ya kawaida ya kujibu Mombasa kama hii, na bado sijakupeleka kwingine zaidi ya hapa..,



 
Look the housing of the so called second largest city πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Poverty rate in Mombasa should be in it's own formality πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…



 
Tunasafari ndefu sana,tukitoka huku ndiyo tujivunie otherwise hapa tutaishia kujichoresha
Hii ni fedhea kwa taifa yaani ndani ya jiji kuu unakutana na uvundo kiasi hiki[emoji22][emoji22][emoji22]

Too bad
 
65% of Nairobians have a access to a private toilet. While 90% of Dar residents have no access to a private toilet. Bado wengi wenu wanatumia pit latrines with no roofs. You are the real shithole city. Using this data we can come to a conclusion that 2/3 of Nairobians live a decent life.
Nilijua Kisumu ndio inaongoza kwa ufukara kumbe nilikua very wrong, Mombasa inakamata kidedea soon Mombasa itaiondoa Nairobi kwenye poverty headquarters 🀣🀣🀣🀣🀣

 
Tunajua hata Nairobi ni choo lakini Mombasa imetia fora πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
View attachment 2348572View attachment 2348573View attachment 2348574
Wapi jibu kutoka Dar?.., tumewanyonga kabisa, ona sasa unakimbilia historia na propaganda kujikomboa.., wapi Dar nione sehemu kama Mombasa mitaani?.., sina haraka, ukichelewa nitakusaidia na clipz za Dar 2022..., huwa nawa ambia Dar haiwezi Mombasa mnanuna, Dar ni gorofa tatu, BRT na CBD na maeneo machache ya maana.., the rest πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Mamilioni ya makazi Dar..,












Ukisonga kuelekea nje
 
Kitu cha Bangla hicho πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Middle income estate za Mombasa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Mashabiki wa mboso hawa 🀣



 
"Uchumi wa kwenye makalatasi".., a certain Tanzanian was heard saying so., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
What a comic idea πŸ’‘πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tafuta kwanza choo



 
ebu weka aerial view tuone inatoshana vipi tulinganishe na makazi mengine in size tuone?.., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,


"Bamburi" ya Dar is Slum.., sio slum, maisha ya mtanzania ambaye ako na kazi ama biashara, level ya wanao jiweza etiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡




 
Hawa ndio hua wanatushow ni middle class in Dar who don't prefer shopping in supermarkets and malls. Umaskini haiwezi fichika. Hawa ndio 90% of Dar residents sharing a pit latrine with more than 20 households.
 
NAIROBI ni dustibin city,ifike mahala tuwe wapole tu hakuna kitu special chakushangaza ndani ya nairobi labda uchafu uliokufulu,

Tunasafari ndefu sana wakenya [emoji22][emoji22]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…