The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Top 10 ya ma slums makubwa hapa Africa hakuna nchi itaingiza mji wake zaidi ya Kenya, hapo ma slums makubwa kama pipeline, Kaliadudu, Mukuru kwa leuben, Korogocho, Makuru Kayaba n.k hayajawekwa.
Domo domo tu π€£π€£Dodoma tulishaachia Tatu City where it was defeated 10 nil.
Domo domo gani na tuliwaambia mtuonyeshe industries in Dodoma mkakunja mikia?Domo domo tu π€£π€£
Kuna Soweto, Sego yn ma slums Kibao yameachwa.Mukuru kwanjenga iko wap hapo nairobiView attachment 2347887
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kwahyo hii umepata ndio comparison kwa DOM.? π€£π€£π€£Hiyo ata haijafikia level ya estate hapa Kenya., wacha nibaki na Mwanza Cityπππ.., nje ya Dar.., π₯ π₯ π₯ π₯ π₯ π₯ π π π π π π π π
View attachment 2347890
Majirani wana jitahidi kukaa kwenye list na tatu bora πππ
π€£π€£π€£ Kwahyo siku hiz watu wanataka kuona viwanda.? π€£π€£ Watu wanaishi humo kwenye viwanda.?Domo domo gani na tuliwaambia mtuonyeshe industries in Dodoma mkakunja mikia?
Mombasa vs Dar..,Mombasa moja hiyo kwa juu safi sana ila njoo kwa chiniππππView attachment 2347888
Dodoma ni estate bana π π π π π πKwahyo hii umepata ndio comparison kwa DOM.? π€£π€£π€£
Any comparison from your poor country.? π€£π€£Dodoma ni estate bana π π π π π π
Wewe hunanga content au unataka kutupostia zile nyumba zako za masquatter.Ila post zako za kujifurahisha we jamaa π€£π€£
Itakua tusi bana, bado mko porini kwa kiwangoπππππππ, jipende mlivyo, usikue mnyonge, be proud, u are trying, π π π π π π π πAny comparison from your poor country.? π€£π€£
Mukuru ninini iko wap hapo nairobiimewaumiza kuona Mombasa has a residential ya kawaida kwa Dar hiyo itakua maeneo ya waarabu na wahindi around town sasa wanalia lia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...,
Kabisaaa π π π π π π π π π πDodoma tulishaachia Tatu City where it was defeated 10 nil.
google earth iko, ingia pole pole uchambue Kenya.., sisi sio wehu na waongo waongo kama nyie..., tunawajua, jipende na ufukara wenu bana, tukome π π π π π π π π πMukuru ninini iko wap hapo nairobiView attachment 2347926
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
mji ata kiwango cha estate bado haijafika unaanika humu? eti capital city? nyambaff, potelea mbali dogoπππππππππππππππππππ.,The capital πView attachment 2347920.. 51 km of roads, 30 buildings underway currently alaf zote ni magorofa, so far huu mji utakua mkubwa 2Γ to our neighbor's CBD. Don YF najua inakuuma ila huna budi kuzoea π€£, ndio tulivyo yani
Naona upo live kamanda[emoji2][emoji2][emoji2]