Tofauti ya Tanzania na Burundi ni jina tu. Both are LDC.Burundi inajitambua kuliko nyie na ndiyo maana tukaona waje wao na c nyie, ila nyie mmeona cc tunajitambua kuliko nchi zingine ndio maana mkaomba tuje.
Na ndiyo zinajenga electrifitried SGR pekee EA hata ukilia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tofauti ya Tanzania na Burundi ni jina tu. Both are LDC.
Wameshapewa eneo lipo Kata ya Karabagaine kijiji cha Itahwa.endeleeni kungoja wenzenu wana ma-vyuo!
Yaani waache kufanya
Mbeya College of Health and Allied Sciences (MCHAS)
Mkwawa University College of Education (MUCE)
fully fledged institutions waje Bukoba!
Eti ku ensure haki inatendeka! 🤣🤣🤣 We bonzo Kenya is a sovereign state. Walikuja kujifunza from one of the best Judiciary in Africa.Sasa hapo wamekuja benchmarking au wamekuja kuhakikisha haki inatendeka? Huna akili.
There's nothing like electrified SGR. Rail line can't be electrified.Na ndiyo zinajenga electrifitried SGR pekee EA hata ukilia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa unalia nini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti ku ensure haki inatendeka! [emoji1787][emoji1787][emoji1787] We bonzo Kenya is a sovereign state. Walikuja kujifunza from one of the best Judiciary in Africa.
Kafie mbele [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]There's nothing like electrified SGR. Rail line can't be electrified.
all the best!Wameshapewa eneo lipo Kata ya Karabagaine kijiji cha Itahwa.
Even MGR can have electric trains. So your point is vague.Kafie mbele [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Amen.[emoji120][emoji120][emoji120]all the best!
Watanzania tupo vizuri sana kwenye kuchagua viongozi ila wahuni mafisadi ndiyo yanakwamisha. tatizo siyo asilimia ..kama kiongozi ni mzuri kwanini tusimpe asilimia 100%...tatizo wakenya mnachagua mafisadi walio wazi kabisaHapo iko sawa kabisa, sio eti rais anapata kura zaidi ya 80%.., hapo kutakua na tatizo.., bado mko kwenye giza watani, na sioni mkitoka hivi karibuni kwa hizi fikra zenu uchwara.,
Mjifunze kujitegemea pia sio majigambo tu mmesoma halafu hamna chuo cha maana hata kimoja huko Bukoba yaani the whole of Kagera! Na si msubiri mpaka serikali ije iwafanyie! hata mikoa mingine inaweza kutaka pia hizi treatment mnazopewa! Mnatia aibu aisee mkumbuke mna one of the most fertile lands in the region! Ndo maana sioni miradi ya NHC kama italipa huko!Amen.[emoji120][emoji120][emoji120]
You can't teach me anything about electrifitried railways because you don't have it and you have never seen it.Even MGR can have electric trains. So your point is vague.
Kwahiyo nyie mliopewa modern airport ambayo ipo underutilized mpaka mida hii na pia Rusumo hydropower project mnadai mnabaguliwa! Unajua makusanyo ya mkoa wa Njombe kwa Taifa? Na wao wasemeje?Endelea kuamini hivyo kwasababu umeona ni imani kwa unachokiamini. Mimi ni mtazania sina ukabila ila sipendezwi na mtu kunyanyaswa au kubaguliwa kwasababu zisizokuwa na mbele wala nyuma.
Hii hii Mombasa yenye nyumba nyingi za udongo kuliko mji wowote East and Central Africa au kuna Mombasa nyingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]