Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tulia wewe wacha watu waupige mwingi mbele ya mama yetu mpendwa Samia,pesa zipo na miradi itakamilika,
Hapo zimetumika tofali zilizojaa cement na siyo ambazo zimejaa mchanga lazima gharama ya tofali iwe ya juu
Wangeupiga kama wasingestukiwa..

Pili mimi naamini huenda ni kweli hicho kibanda kikawa na hiyo cost kwa sababu gharama za vifaa vya ujenzi zimepanda na pia wanaopanga mradi wa kuzinduliwa na Mwenge ni wao so wasingeweza kupeleka maofisa wa Mwenge kwenye mradi wa upigaji..

Ndio maana nimesema wa stick kwenye BOQ vinginevyo ni mihemko isiyo na tija.
 
Ndiyo hivyo unadhani huyo kashtukiwa hakuna chakushtukiwa ni wamehoji tu,
Maisha ni mazuri sana kama bidhaa zimependa mpaka kufikia kibanda kimoja 13M
Je nyunba moja ni kiasi gani?
Naipenda Tanzania nampenda mama Samia
 
Based on your selected photos, yaani past tenseπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .., haubadilishi ukweli, ufukara na ushuzi ni jina lenyu la kati mzee.., inauma ila vumilia.,
Kisumu on πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ yaani kama hii ni shithole, Tanzaia is the shit itself that comes out of the holeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Ukweli unabakia pale pale, tokea Mwanza to Arusha, Morogoro to Dodoma hadi Dar.., picha ni hii kwa wingi na upanna, zoea, penda kwenu na ujivunie vile vidogo mnavyo.,
Leta evidence ya 2022 mzee.., tuone mabadiliko..,

Tanzania 2022.., usitumie nguvu nyingi.., mabadiliko hakuna down south..., it's getting worse.., tokea Mwanza, Arusha, Dodoma to Dar......, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚










 
Kenya nzima imezungukwa na ma slums everywhere, county gn haina slums nitajie sahizi hapa na watu wasikie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Improvements.., mabadiliko mitaani...,






2022..,
Sehemu niliona ng'ombe wakivuka barabara.., sasa

 
Rais Samia amerudisha Real estate ya Tanzania on track..

NHC kazini πŸ‘‡
Ni kweli, ni aibu mji wenye watu 6Milioni tu wanaishi mpaka 40km radius from the city, je tukifika 20Milioni tutafika wapi? Ujenzi wa nyumba za chini umepitwa na wakati na ni hatari kwa upatikanaji wa makazi bora ndani ya miji yetu? Ni muda sasa wa kuamka na kuanza kujenga apartments za kutosha, watu milioni 6 walitakiwa wasifike hata Kawe, Mbagala wala Gongo la Mboto.
 
Kenya nzima imezungukwa na ma slums everywhere, county gn haina slums nitajie sahizi hapa na watu wasikie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weka aerial view kila county ya Kenya wide angle tuone kama zinafanana hiviπŸ‘‡πŸ‘‡.., usiwe na haraka google earth ni free, data tu ndio wahitaji.., leo tusiandike kwa mate na wino upo, propaganda zako leo nazianika wazi wazi.., kindly be my guest..,

 
Picha ya kwanza sijui imeiokota wapi, picha nyingine za mawinguni vuta karibu ili tuone kwamba leo definition ya slum imebadilika. Picha za mwisho ni bonde la mto msimbazi au msimbazi basin na zimevunjwa hizo nyumba, na hata kama zingekuwepo huwezi kuita slum nyumba ya block iko poa sema tu ni unplanned, hayo maji ni kipindi cha mafuriko.

Ss nakuwekea picha ambayo haina mafuriko wala nn yn kukame kabisa alafu fananisha na picha za mafuriko ulizoweka ww ili tujue maana halisi ya slum [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
The best 007 kauli mzuri hapa..,
 
Nakuambia nitajie county isiyo na slum Kenya unaogopa nn?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Weka wide angle tuzione zote, tukilinganisha na makazi standard.., usiogope mjukuu.., , wacha tutazame Nairobi 2022.., vs Dar
Nimeona Kibera kwa picha yako, wacha tuone kama slums zimezunguka Nairobi ama zimezungukwa na maendeleo.., tofauti na Dar, maendeleo kidogo imezungukwa na ufukara kote kote..,

 
Sijawahi kuuona huu ufukara Tanzania usiforce tufanane 🀣🀣🀣🀣
 
Nakuambia nitajie county isiyo na slum Kenya unaogopa nn?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe ndio unahaja ya kujitetea, nimeonyesha taifa lenu lina ufukara kote kote, mazuri yanazungukwa na ufukara, ila Kenya ufukara ndio inazungukwa na maendeleo..,
Ushahidi; Google Earth.., link hiyo hapo.., inaonyesha Tanzania yote na Kenya yote wazi wazi, maneno yako yanabakia kukua tu maneno hewa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…