Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona hivi majirani???? With devolution I believe most of our classrooms are modern unless mlete picha ya kitambo View attachment 2343762
Jiliwaze na picha za 60s, picha mpk haionekani vizuri kutokana na umri ilionao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ngoja tuweke picha ya juu ili ukamuongopee babaako sio humu [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]View attachment 2343794View attachment 2343795
Ebu zoom in hizo sehemu unaita ushuzi tuone kama zinafanana hiviπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ naona ume circle eastlands., na maeneo ya Uhuru Park eti Ushuzi.., weka kwa karibu tuone ushuziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Neno "USHUZI" ni jina la kati na la mwisho la Dar is Slum.,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


 
Rais Samia amerudisha Real estate ya Tanzania on track..

NHC kazini πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220903-075625.png
    94.9 KB · Views: 24
  • Screenshot_20220903-075539.png
    122.9 KB · Views: 24
  • Screenshot_20220903-075446.png
    105.8 KB · Views: 25
  • Screenshot_20220903-075429.png
    109.9 KB · Views: 25
  • Screenshot_20220903-075357.png
    100.4 KB · Views: 25
  • Screenshot_20220903-075352.png
    106.7 KB · Views: 24
  • Screenshot_20220903-075321.png
    96.7 KB · Views: 20
India na Tz hazina matatizo ya aibu kama njaa, wala cholera japo mnafanana kwenye ma slums.
India ni Tanzania, Ushuzi ulio tapakaa kwa upana na urefu.., yaani nyie ni pacha walio ngumu kutofautisha, raiya wakawaida wanaishi kwa Ushuzi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yaani ikija maisha ya watu wa kawaida, yaani walio wengi 90% plus, India, Nigeria na Tanzania mko sentensi moja.., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚




 
Alafu ukumbuke kuna maeneo mengi are categorized as slums in Nairobi but are far better than ushuzi za Tanzania.., so if we go by Tanzanian low standard, population living in slum Nairobi will be 20%.., juu by Kenyan standards, residential za Dar are just slums like over 80%..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jiliwaze na picha za 60s, picha mpk haionekani vizuri kutokana na umri ilionao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukweli mchungu, tafuna ndimu kama mwanaume mjukuu, kubali yaishe πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
u mean Kibera? hebu leta picha tuone those mabati and mud sharks!
 
Najua mnafosi tufanane ila ndio haiwezi kuwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…