Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ We mpunga unalazimisha vipi tuhadithiwe story za maisha yetu, Ulisoma wapi wewe kichaa.. yani niokote data mtandaoni niziamini kuliko data za Waziri.? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Statistics are not proclaimed by politicians. Go back to school.
 
Kuna siku Simon aliweka idadi ya magari yaliyosajiliwa Tanzania Hapa.

Hawa wakulungwa naona wnaa Bodaboda nyingi

View attachment 2340813
50% ni bodaboda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Siwezi kushangaa mana wao ndio waanzilishi wa bodaboda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Dah
 
Acha uzwazwa na wewe unataka miji waifinye ili iweje, Mji unatakiwa kupanuka kulingana na master plan ake Mfano Dodoma ina zaidi ya 2000kmยฒ asaa ulitaka stand ijengwe Sabasaba, Mwanza 546kmยฒ ulitaka stand ibaki Buzuruga. Tena mimi nilitamani stand ya Ilemela ingejengwa kisesa nje kabisa uko ili mji ukue kufata mipaka yake, Mfano apo Nyamhongolo sasa ivi kuna Nyumba kali na viwanja vimepanda bei
 
Yaan wewe jamaa huwa unaongea kwa mapenzi sana
 
Propaganda na porojo wacha, ujinga na porojo peleka mbali, jameni shirikisha ubongo katika mambo mengine, sio kila wakati porojo na shabiki za kifala ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ u hardly understand exchange rates and factors affecting them, What do u mean by resilience economy? alafu hakuna tofauti ikija USD to Tshs na Kenya shillings! Yaani, as at now USD to Tshs is more or less same as Kshs.., hakuna janja janja, wewe unaongea kiushabiki sio kiutalamu, u are ignorant bana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kwa sasa USD is very strong across, and Tanzanian economy sio resilient imekua hovyo siku zote, so 1USd to Kshs ni ksh120, 1USD to Tshs ni 2329, and highest this August ilifika Tsh2344 on 27th.., kwa pesa za Kenya USD to Tshs ranges between Ksh119 and Ksh120, yaani iko sawa na Kenya, so with your weak economy u are more disadvantaged! Your total exports is less than Kenya's! Ujinga na upumbavu ni laana bana..,
Dollar to Kshs


1USD to TSHs.


1KSH to TSHs.
 
Matusi ya nini sasa.?
 
Kawaambie wanaopiga makelele sio mimi wewe fala..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ