Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii picha ingekuwa ni ya mji wa Kenya, tungeambiwa vile miji zetu ni chafu. But since this is Arusha and Tanzanians are the majority here, no one can mention the obvious
Tope la mvua limegeuka uchafu, unaumwa kichwa wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nani alikuambia duniani kuna jambo jipya? Unapoiga mazuri aliyoyafanya mwenzio haimaanishi kwamba hakuna mwingine aliyewahi kufanya, mazuri huigwa, ni kama mlivyojaribu kuiga BRT system ya Tz mkashindwa haimaanishi kwamba hakuna nchi yenye BRT. Unaposhindwa kubali kujifunza then move on, mna mengi ya kujifunza kutoka Tz.
 
Tanzanians have often referred to Dar as New York of Africa in this forum. Do you find any replica of NY in Dar?
Hii hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Arusha wamepave 425Km ...
Sio mbaya Bado kazi zingine zinafanyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…