Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Saa hii kazi ni kupost mahoteli tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, I wonder if watu wote Arusha are staying in hotels๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hapa nilijua tutawanyonga, ata waende kwa moon ama mbinguni na warudi, jibu hawapati ng'o, ufukara ni kama kikohozi Tanzania haufichiki, iwe Dar, Mwanza, Arusha etc, niko na youtube clip ya Arusha tour mitaani najua ni kwa nini hawaleti picha za mitaa ya kawaida, kiburi kikiwazidi I will drop them here one after the other, watakoma ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Nimengoja jibu kutoka Mwanza na Arusha? wewe uko na jibu?..,
Picha zote ulizotoa znatoka kweny hcho kimtaa cha Lolwe hko mwingine ni mabati na mashamba tu.

Sas tukizitoa mlimani, Dunga, na kanyakwar na baadh ya vijisehemu vichache ndo tunaingia ulimwengu wa SLUMS rasmi[emoji28]
 
Which proves me right.., yaani ata hii๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ google earth image inaonyesha Lolwe, yenye umeikata kwa vile inaendelea all the way beyond the left frame ya image towards Mamboleo, naona a section of Migosi on your right, yaani yote ni sehemu tu ndani ya "Eastlands" ya Kisumu.., mimi nataka ya Mwanza na Arusha, Kisumu isikusumbue, mbona ni ngumu kwenu kujibu swali rahisi? kama haipo just say haipo and we move on hamtakufa, kukubali ukweli ndio tatizo kwenu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Picha zote ulizotoa znatoka kweny hcho kimtaa cha Lolwe hko mwingine ni mabati na mashamba tu.

Sas tukizitoa mlimani, Dunga, na kanyakwar na baadh ya vijisehemu vichache ndo tunaingia ulimwengu wa SLUMS rasmi[emoji28]
Sasa unadanganya wewe..., google earth iko mbona uwandike kwa mate ilhali wino upo? ama unatumia google kimandazi bila kudhibitisha na google earth..., mimi nataka wewe ulete jibu kutoka Mwanza ama Arusha, unayo?..., rahisi tu, usikwepe na vijisababu...., nangoja, kuna jibu?
 
Milimani..,
View attachment 2339531

Lolwe.., hii pekee haina jibu Mwanza wala Arusha.., tangu jana sijapata jibu., ni Kiswahili na vipicha hapa na pale.,
View attachment 2339532
Waambie Walete areal Shot ya Arusha ama Mwanza Suburbs, kama hii hapa ya Kisumu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. They can Never show an areal Shot of Arusha or Mwanza outside CBD [emoji23][emoji23][emoji23] .
 
Kwa sabab hata hii yenyew yakawaida Sana kwa ground, hzo rangi rangi zisikuchanganye[emoji28]
 
Waambie Walete areal Shot ya Arusha ama Mwanza Suburbs, kama hii hapa ya Kisumu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. They can Never show an areal Shot of Arusha or Mwanza outside CBD [emoji23][emoji23][emoji23] . View attachment 2339619
Watoe wapi standard housing in one place kwa mpigo hivyo?.., zao ni hizi types in both Arusha and Mwanza.., nyumba za watu wa kawaida(not slums in Tanzanian standards), uswahili itauwa watanzania ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚


 
Tumegoma kuzalilisha EA's tourism capital na ujinga unaoitwa kisumu.. hiyo discussion ni aibu tu.. tumeishia hapo.. mkitaka battle za mji wenu tuna Moshi town is there to compete Kisumu not otherwise..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ